Kwanini wasomi wa Tanzania hawapendi kuandika tafiti wazifanyazo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini wasomi wa Tanzania hawapendi kuandika tafiti wazifanyazo?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by locust60, Apr 26, 2010.

 1. locust60

  locust60 Senior Member

  #1
  Apr 26, 2010
  Joined: Oct 1, 2008
  Messages: 102
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kwenye dunia hii ya sayansi na technologia maendeleao yanakuja kwa tafiti,nakama tafiti hizo hazita chapishwa (publish) jamii haitafaidika na ufumbuzi huo.nimejaribu kulingalisha nchi nne za afrika mashariki watani wanatuacha mbali.Duniani tuko nafasi ya 77 ,Shime wanataaluma andikeni na mchapishe ili jitihada zenu ziweze saidia jamii nzima.http://www.scimagojr.com/compare.php?c1=TZ&c2=KE&c3=UG&c4=RW&area=0&category=0&in=it
   
 2. Isimilo

  Isimilo JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2010
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukiona hivyo ujue hizo tafiti nyingi wamedesa.
   
 3. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  No Research No Right To Speak Hapo juu nimeona Isimilo anadai wasomi sisi tumedesa thibitisha ama la tasavali usituaccuse wrongly
   
 4. B

  Bibi Kizee JF-Expert Member

  #4
  Apr 27, 2010
  Joined: Feb 18, 2008
  Messages: 213
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  machapisho yapo ila mengi ni katika local journals, ingawa jitihada zaidi ziongezwe,

  cha kuzingatia pia evaluation hizi zinategemea hits kwenye mtandao, wenzetu mpaka thesis wanaregister as part ya publication za chuo na zinapatika online japo abstract tu, kwahiyo uwezekano wa kuwa nyuma sisi ni mkubwa ni article chache mno zipo kwenye journal ambao unaweza kuzipata online, au japo hata kupata abstract. vyuo vyetu viwe na taratibu za kusajili machapisho angalau kwatika website za vyuo hivyo, na kuweka japo abstract zake. na ziwe zinafanyiwa update mara kwa mara. kila mtu anapopublish hata katika faculty journal basi chapisho lisajiliwe na liwekwe available. mfano mdogo tu, unaweza ukatafuta kazi ya mtu ambayo tayari ameipublish usiipate hata humo humo ndani ya chuo na pengine hata mwenyewe hana soft copy, akibahatisha sana atakupa hard copy ambayo aliiweka kwenye file ukatoe copy.
   
 5. b

  bnhai JF-Expert Member

  #5
  Apr 27, 2010
  Joined: Jul 12, 2009
  Messages: 2,208
  Likes Received: 1,373
  Trophy Points: 280
  Bibi Kizee kidogo natofautiana na wewe. Ukweli kabisa tukianza kuchapisha hata abstract ya thesis za wanafunzi wetu zikawa available kwa public tutazidi kujishusha saana. Km zinachapishwa online ziwe for internal use only.
  Ukweli wanataaluma wetu hawafanyi research na kama wanafanya nyingi hazikubaliki katika kiwango cha kimataifa. Maana nikijaribu kuwakumbuka walim wangu wa research huwa ninasikitika. Ni defn na objectives hiyo ndiyo research methodology tuliojifunza wengi. Too theoretical. Kifupi nyingi hazichapishiki.
  Lingine ni access kwenye mtandao. Last yr mtandao wa UDSM ulikuwa down kwa miezi 2, unategemea nini hapo? Tunakwenda mbele au nyuma? Hawa wenzetu wamesubscribe kwenye database kubwa kwa hiyo wanaweza pia kuandika. Kwahiyo ili tufike huko tuanze kuinvest na tutengeneze hata database ambazo ni local. Tutaweza kuuza subscription from there tutaweza kusubscribe kwenye international database.
   
 6. B

  Becs New Member

  #6
  May 6, 2010
  Joined: May 6, 2010
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo no favour kwa tafiti zenye kuonyesha mafanikio yenye maendeleo, sasa ya nini kujisumbua? But together, we can make it! Hulee! It begins with you! ...i'm next...
  Find me via: www.becs.mw.lt
   
Loading...