Kwanini wasiseme mimi ni albino, wanasema mwenye 'albinism'

HUNIJUI SIKUJUI

JF-Expert Member
Apr 4, 2015
1,335
1,545
kwenye tangazo hilo mimi naona walitakiwa kusema'mimi ni mtanzania albino' kusema mwenye 'albinism' ni kuzunguka sana alafu inaweza kuchanganya baadhi ya watu wasiofahamu kiingereza...badala ya kumfahamu mtu kama 'albino' watamfahamu mtu kama 'albinism'
 
kwa mtu mwenye akili timamu, hata kama hajui neno "albinism", akilitazama hilo tangazo mwanzo mpaka mwisho ataelewa tu
unavyoona matumizi yake ni sahihi kwa mazingira hayo???kwanini wasiseme mimi ni albino.........kwanini kuzunguka kote huko?
 
Siku hizi wanapaka rangi sana majina, zeruzeru(albino) ,kipofu(mlemavu wa macho) ,kiwete (mlemavu wa miguu) nk sijui tatizo nini.
Mkuu hakuna tatizo lolote zaidi ya ushamba na ulimbukeni
Hata wangejiita watoto wa Takadini,ukweli utabaki palepale tu wao ni Masope hakuna jinsi.

Kubadilisha jina la Ugojwa,hakuondoi dalili zake..!
 
Back
Top Bottom