Kwanini wasichana wanchanganya lugha ya Kiswahili na Kingereza?

jimmy fivao

Member
Jun 5, 2015
26
3
Jamani saizi kunatabia imeibuka ya hawa dada zetu kujifanya wanaongea sana english mf Ilove you nakupenda sana {kozi} ukiniacha nitaumi{bati} sina mwingine.

Kwanini usimalizie tu ukaongea english unakera sana hasa ukitaka kutongoza ndio kabisaa hii lugha mi naiita engliswahili wewe mdawu unaiitaje.?
 
Kiupande wangu nikikuongelea kiswahili nakuwa sina mood yaan full aibu ila nikitwanga kikristu no aibu
 
jimmy fivao

"nakupenda but sina mwingine cause naomba uniamini..... I mean wanaume nawaogopa but ukiniacha Bauma sana"

Elimu zao za ngumbaru ila wapo mbele mbele na vilugha vyao
 
Last edited by a moderator:
Hujui watu wanaamini akizungumza kiswaenglish eti ndio msomi, mweeee!!!!!!!!! maskiniii nchi yangu Tz
 
haki ya nani

kwa hiyo tutaje kwamba na sisi tunaiitaje?
mi naiita kiswanglish
 
Back
Top Bottom