jimmy fivao
Member
- Jun 5, 2015
- 26
- 3
Jamani saizi kunatabia imeibuka ya hawa dada zetu kujifanya wanaongea sana english mf Ilove you nakupenda sana {kozi} ukiniacha nitaumi{bati} sina mwingine.
Kwanini usimalizie tu ukaongea english unakera sana hasa ukitaka kutongoza ndio kabisaa hii lugha mi naiita engliswahili wewe mdawu unaiitaje.?
Kwanini usimalizie tu ukaongea english unakera sana hasa ukitaka kutongoza ndio kabisaa hii lugha mi naiita engliswahili wewe mdawu unaiitaje.?