Kwanini wapishi wengi kwenye mahoteli makubwa ni wanaume

zagarinojo

JF-Expert Member
Jul 26, 2020
2,622
2,835
JF,

Nafikiri na nyie mtakuwa mmegundua hili.

Wapishi katika mahoteli makubwa wengi ni wanaume.

Hasa hasa hoteli zenye hadhi ya nyota tano lakini hata zile za hadhi ndogo.

Sijajua sababu au ni kwamba wanaume wanajua kupika kuliko wanaume?
 
Nafikiri sababu ya muda wa kazi-big hotels zinahitaji mtu aliye na uwezo kufanya kazi hadi mida ya usiku sana na asubuhi sana.Mwanamke akishaolewa analazimika kuacha kazi.

Pia kipengele cha kutumia msuli jikoni kupika--Kama ningekuwa mwenye hoteli--bado ningependelea mpishi mwanaume.
 
Hata bar nyingi wapishi wanaume..

Wepesi...
Hakuna drama za mahusiano.

Mwanaume hata kama kagombana na mkewe hutajua..

Hakuna kulia Lia na kubembelezwa..

Hakuna kuomba ruhusa ya kitchen party ..

Wala hakuna kununa kisa bosi kakufokea
Umenichekesha ulivyosema hakuna kuomba ruhusa ya kitchen party
 
Hata bar nyingi wapishi wanaume..

Wepesi...
Hakuna drama za mahusiano.

Mwanaume hata kama kagombana na mkewe hutajua..

Hakuna kulia Lia na kubembelezwa..

Hakuna kuomba ruhusa ya kitchen party ..

Wala hakuna kununa kisa bosi kakufokea
Nyongeza hapo. Pishi la mwanaume kawaida linakuwa consistent muda mwingi. Hutasikia leo kazidisha chumvi au mafuta au leo kaunguza kidogo.
 
Hata bar nyingi wapishi wanaume..

Wepesi...
Hakuna drama za mahusiano.

Mwanaume hata kama kagombana na mkewe hutajua..

Hakuna kulia Lia na kubembelezwa..

Hakuna kuomba ruhusa ya kitchen party ..

Wala hakuna kununa kisa bosi kakufokea

Safi 100%
 
JF,

Nafikiri na nyie mtakuwa mmegundua hili.

Wapishi katika mahoteli makubwa wengi ni wanaume.

Hasa hasa hoteli zenye hadhi ya nyota tano lakini hata zile za hadhi ndogo.

Sijajua sababu au ni kwamba wanaume wanajua kupika kuliko wanaume?
Wanaume kazi wanawake umbea.
 
Hawana gubu na hawaongozwi na emotion.

Mwanamke anaweza udhiwa na mume wake akaja na hasira watu wote wakala mboga yenye sukari badala ya chumvi.
 
Back
Top Bottom