Kwanini wapiga Chabo wengi Mashuleni / Vyuoni hutusua sana maishani kuliko wale Wasongo wa Elimu?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
40,605
2,000
Katika utafiti wangu mdogo sana nimegundua kuwa 99% ya wale Wanafunzi ambao Mashuleni na Vyuoni walikuwa na Sifa ya Kutukuka kuwa ni Wapiga chabo / Waibiaji kwa wenzao iwe katika Test au Exams maishani ndiyo huja kuwa na mafanikio makubwa na ya haraka mno kuliko wale Wasongo ( bookworms ) ambao mara nyingi ndiyo huwa Vipanga / Wanaofaulu sana lakini zile akili zao za Darasani huwa haziakisia maisha yao halisi ya sasa?

Je kuna Siri gani iliyojificha hapa?

Nawasilisha.
 
Ngalikihinja

JF-Expert Member
Sep 1, 2009
22,516

Huwa wanahofia kufeli mara mbili.... HICHO NDO HUWAPA USONGO WA KUTAFUTA...
WASONGO huwa wanadhani uwezo alionao darasani ndo huo huo atautumia huku kitaa

NB
1. Si kila msongo hajatusua kwenye maisha
2. SI kila mpiga chabo katusua kwenye maisha

Ngali K
 
shatisuruali

JF-Expert Member
Jul 28, 2016
616
1,000
Huwezi kuigilizia maisha.. Hawa mara nyingi wanakuwa ni watu wa mishemishe tokea wadogo hawana muda wa kusoma na kukamia saana. Ko wakifaulu darasani mara nyingi kwenye maisha siyo tatizo kwao, wanatusua tu. Sisi tulikuwa tunawaitaga wazee wa Kupenya.
 
xungura

JF-Expert Member
Jul 18, 2016
299
250
Huwezi kuigilizia maisha.. Hawa mara nyingi wanakuwa ni watu wa mishemishe tokea wadogo hawana muda wa kusoma na kukamia saana. Ko wakifaulu darasani mara nyingi kwenye maisha siyo tatizo kwao, wanatusua tu. Sisi tulikuwa tunawaitaga wazee wa Kupenya.
Kujielewa napo ni mojq ya sababu.
Wwnaosoma sana Mara nyingi Wa kariri waliyosoma na hawaelewi kuwa wanachosoma ni kazi so
Soko la ajira linataka wanaojielewa na wenye uwezo Wa kubuni vitu.
Huwezi kuwa creativity wakati kila cku unalala na lacture book utaishia kukariri tu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom