Kwanini wapenzi wengine hufuatiliana hata baada ya kuachana?

Fredinho

JF-Expert Member
May 18, 2016
971
1,160
Nini kinasababisha wapenzi walioachana kuendelea kuongea mambo ya hovyo na kufuatilia mambo ya wapenzi wao wa zamani, mara ohh yule hakuwa mwanaume/mwanamke wa hadhi yangu..

Oooh nilikuwa nazuga nae tu..ohh mwanamme/mwanamke atakuwa yule na bla bla kibao wakati tulikuwa tukiwaona wanapendana kwa sana! na hawakuwahi kutuambia hayo matatizo kabla?
 
Inawezekana kweli ulikuwa na mapungufu akakuvumilia maana mapenzi ni upofu kwakweli, au ndo maneno ya mkosaji..a na b yote sawa
 
Hahahaah...ukiwa nae unakuwa kipofu kwa muda but mkiachana ndo unaanza kuona mapungufu yake.
 
Haaaa sasa watu wamekaa zaidi ya miaka 15 wamekojozana kipindi chote hiko uchanga utoke wapi?
Hapo ni kujihami
1464541067138.jpg
 
Niishara hawakuachana kwa wema hata hivo hakuna ex wako atakae kuombea mazur atataman uharibikiwe kila siku
 
Nini kinasababisha wapenzi walioachana kuendelea kuongea mambo ya hovyo na kufuatilia mambo ya wapenzi wao wa zamani,mara ohh yule hakuwa mwanaume/mwanamke wa hadhi yangu..oooh nilikuwa nazuga nae tu..ohh mwanamme/mwanamke atakuwa yule na bla bla kibao wakati tulikuwa tukiwaona wanapendana kwa sana! na hawakuwahi kutuambia hayo matatizo kabla?
Sizitaki mbichi hizi kama sungura alivyosema baada ya kushindwa kupata ndizi. Ukiona hivyo ujue bado anamtaka mwenzie na kwa vile kashindwa kumpata tena ndo kukandia ili aonekane hafai.
 
Inawezekana kweli ulikuwa na mapungufu akakuvumilia maana mapenzi ni upofu kwakweli, au ndo maneno ya mkosaji..a na b yote sawa
cha kushangaza ulikuwa na mazuri 99 ila mkiachana anashikia bango kaupungufu ka 1 mpaka kero!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom