Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 68
zito hujenga hoja si mtu wa kuburuzwa.mbowe na slaa wanataka maROBOT ILI WAYABURUze.
ni muislam na hajatoka kaSkazini.anatishia maslah ya kanisa.
Kanisa lipi?ni muislam na hajatoka kaSkazini.anatishia maslah ya kanisa.
Nadhani mleta mada anazungumzia "wapenzi na mashabiki wengi wa CDM"Feedback kama Zitto amejikwaa na bado ni Kiongozi CDM basi tatizo sio Zitto tu, a big picture ni CDM na Zitto wote ni tatizo I mean ni commonsense zaidi kuliko maneno yako mengi ambayo ni empty politically! So inawezekana kuwa Zitto haiamini CDM kama ambavyo CDM hamuamini if it is the case here as of Mleta Mada.
Feedback kama Zitto amejikwaa na bado ni Kiongozi CDM basi tatizo sio Zitto tu, a big picture ni CDM na Zitto wote ni tatizo I mean ni commonsense zaidi kuliko maneno yako mengi ambayo ni empty politically! So inawezekana kuwa Zitto haiamini CDM kama ambavyo CDM hamuamini if it is the case here as of Mleta Mada.
Ujue pro-Chadema wengi ni mateka wa Mbowe, sasa wanauona Zitto ni tishio kwa boss wao..
Kuanzia kipindi kile Zitto kutaka kugombea uenyekiti wa Chadema, ndio chuki ilianzia apo!
Wanaompinga Zitto ni wachaga!. Wanahofia Zitto kuchukua madaraka kwenye taasisi yao.
Mbona madaraka anayo tayari? Ni Katibu Mkuu Msaidizi wa Chama. Au unamaanisha madaraka gani?
hakai ofisini wala hajishughulishi na mambo ya chama siku hivi akiongea ni kama Zitto Siyo naibu katibu mkuu wa chadema.. mnafiki sana. then ukaribu wake na kina RA,EL na JK, pia kampuni ya barrick... I hate Zitto
Na katika thread hizo hizo wapo pia wanaoonyesha kwua bado wana imani na Zitto. na wao pia watupe sababu kwa nini wanaendelea kumwamini, labda itamsaidia Zitto kuzidi kujiimarisha
Malecela nafikiri kinachotakiwa tujenge hoja from both sides tukiendelea kulumbania heading tutaonekana wote majuha, afterall ukisema Zitto haiamini CDM au CDM haimwamini Zitto wakati wa kuchangia lazima utatoa pros and cons za pande zote so i don't see the difference realy.Feedback kama Zitto amejikwaa na bado ni Kiongozi CDM basi tatizo sio Zitto tu, a big picture ni CDM na Zitto wote ni tatizo I mean ni commonsense zaidi kuliko maneno yako mengi ambayo ni empty politically! So inawezekana kuwa Zitto haiamini CDM kama ambavyo CDM hamuamini if it is the case here as of Mleta Mada.
Mnikumbushe kama zitto alikuwa kwenye matukio yafuatayo
1.maandamano ya arusha
2.safari ya kwenda ikulu
3.nikiongozi pekee ambaye hana kesi makamani kwajili ya cdm
4. Sijui kama anatoa kauli za cdm tena
Ni Mbowe amekutuma? Mbona unahangaika sana kuhamasisha chuki juu ya Zitto? Umeshatoa mada si utulie upate maoni au uchangie unapoona panakugusa? Umeona haitoshi unang'ang'ania wasio na imani ni wengi. Uchambuzi wako unafikiria JF iliyojaa maadui wa Zitto ndio itabadili ukweli wa mazuri yake?
Well, umetaka sababu za watu wengi kupoteza imani juu ya zitto.
1. Sio kweli kwamba watu wengi wamepoteza imani, ila kuna kundi la watu tena ndani ya chama chake kwa kumhofia wanapandikiza mbegu za chuki juu yake na kujitahidi kufanya watu wapunguze imani kwake, ila anayoyafanya yako wazi mbele ya Wote wenye macho na maskio.
2. Zitto yuko huru juu na anachoamini kuwa sahihi, hafanyi siasa za kizee na haoni tabu kumsifia mtu anapofanya jambo jema hata kama si wa chama chake. Mfano rahisi ni ishu ya posho, wameshakubaliana kama chama kwamba posho ya vikao si stahili yao, lakini watu wana tamaa wanaendelea kupokea tu huku wanasema wanapinga, sasa ujinga kama huu ndio Zitto asioweza kuuvumilia, yeye akaamua kutokupokea. Unategemea hapo watampenda?
ni muislam na hajatoka kaSkazini.anatishia maslah ya kanisa.
Si baada yakuona ile ya madini washampatia chochote kitu akatafuta pa kutokea kaona kwenye posho kajaribu kaishia kujaribu
Mara kadhaa kwenye thread mbalimbali kumekuwa na kundi kubwa la mashabiki na wapenzi wa chadema kuonyesha waziwazi kutokuwa na imani na Zitto Kabwe mtu ambae walimuamini na kumpenda sana kabla hawaja anza kupoteza imani na mapenzi nae.
Sasa hivi usishangae kuona wanachama na wapenzi wa chadema kutokumpa kabisa nafasi ya kumzunguza kwa mema mbunge huyo machachari na matokeo mazungumzo mema yameelekezwa sana kwa John Mnyika, Tundu Lissu, Mdee na wakati mwingine kwa Godbless Lema.
Kautafiti kangu kadogo kamenisukuma kujiuliza na kuamua kuungana nanyi magreat thinker.
Hivi ni kwa nini wapenzi na mashabiki wa chadema hawana tena imani na Zitto Kabwe?
Tafadhari weka sababu huenda zikamsaidia kujirekebisha.
Nawasilisha.