Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Sio kwamba wanapenda Bali kuanzia wanaume wanadaganya kuwa huo mchezo ni mzuri, kwa wanawake nao wanafikiri ndo kumdhibiti mwanaume kumbe ni ushetani na ujinga uliozidi viwango vya TBS mtu yoyote anayefanya, mfwanywaji wote ni vichaa maana ladha ya tendo la ngono iko kichwani kisaikolojia na sehemu husika na sio kinyume cha nature.
 
Mada za 0713 zisipewe kiki jamani! Zinavyozidi kuongelewa ndo wasiokua na ufahamu kuhusu hii kitu wanashawishika kujaribu. Yaani huwezi amini kuna mkaka alikua ata hajui watu wanavyoongelea tigo wanamaanisha nini!!! Akawa bize anapayuka Ooh mi natumia tigo na naipenda sana hakujua wenzake wanamaanisha huu mchezo haramu.
 
Sio kwamba wanapenda Bali kuanzia wanaume wanadaganya kuwa huo mchezo ni mzuri, kwa wanawake nao wanafikiri ndo kumdhibiti mwanaume kumbe ni ushetani na ujinga uliozidi viwango vya TBS mtu yoyote anayefanya, mfwanywaji wote ni vichaa maana ladha ya tendo la ngono iko kichwani kisaikolojia na sehemu husika na sio kinyume cha nature.

Njoo tujaribu, kama hujasikia raha tunaacha
 
humu mnalalamika sana.. em aliyewahi kula aseme alionaje.. au wote mnasikiliza maneno ya kwenye vibanda vya kahawa!!!!!?
 
Sio kwamba wanapenda Bali kuanzia wanaume wanadaganya kuwa huo mchezo ni mzuri, kwa wanawake nao wanafikiri ndo kumdhibiti mwanaume kumbe ni ushetani na ujinga uliozidi viwango vya TBS mtu yoyote anayefanya, mfwanywaji wote ni vichaa maana ladha ya tendo la ngono iko kichwani kisaikolojia na sehemu husika na sio kinyume cha nature.
Kuna mkaka alikuja na gia hiyo sijui alifikiri na mie bwe.ge??? Eti ukinipa tigo ntakupenda milele... Nikamwangalia na kumjibu kampende milele mama yako.
Sipendi ujinga mimi!
 
Na ndo wengi wako hivi wanataka huo mchezo kuliko lolote watu warudie maandiko. Sasa hivi kila mwanaume anataka mchezo, hafu ukimwambie yeye ageuzwe mkali. Mwanaume akupendaye hawezi kukufanyia hivo kamwe.
 
Back
Top Bottom