Kwanini wanawake wenye tabia mbaya( kijamii) mara nyingi uishia kuweka historia nzuri??

Crisheb956

Member
Dec 26, 2018
21
12
Mimi ni msomaji mzuri sana wa vitabu na makala tofauti tofauti. Nimeleta hii kwenu wana JF tuweze kulijadiri katika mitazamo tofauti tofauti.

Mara nyingi katika historia hata kwa Sasa wanawake wengi ambao wanatabia ambazo jamii azi hafiki nazo ndo mara nyingi wanaishia kuweka historia ya kipekee. Mfano Mzuri Cleopatra, Delila kwenye biblia. Na wengine kibao....hata ukiangalia mastaa wetu kama lulu....wote hao historia zao zilikua sio nzuri kidogo nyuma....ila badae wanakua na chachu kubwa ya ushawishi wa kufanya mambo makubwa....wengine kuishi kuwa Queens, wengine kuolewa na watu wazito na kua na maisha ya kipekee wengine kujitengenezea historia amboyo itakumbukwa vizazi hadi vizazi.......ebu tusaidiane kuna nini apo behind the wheel.
 
Badilisha sio tabia mbaya ni uthubutu.
 
Kwasababu walipangiwa hivyo mienendo yao pindi tu walipozaliwa.
 
Back
Top Bottom