Kwanini wanawake wengine wakizoeana na wanaume wanakuwa rafu?

uongo utakupa ushindi wa siku moja, ukweli unaishi milele moja kwa moja. [HASHTAG]#she[/HASHTAG] kip t ril & og
 
Wana kanga Fulani wanaziita za kushindia....Ni chafu hatari.
Umempata anavaa vimini/suruali, anafika kwako anaanza kuvaa kanga za kushindia na migauni mirefu kiasi cha kwamba huna haja ya kusafisha sakafu...!
 
Sasababu mwanzo alikuwa akijoremba ili kukuvutia.. au kukunasa. Sasa ameshakupata.. haoni haja ya kujitunza tena
 
Back
Top Bottom