GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,545
- 108,861
Rejea tu Kichwa cha Habari hapo juu kisha anza zako tu Kutiririka na Kuserereka katika Utoaji wa ' Madini ' yako.
Nawasilisha.
Nawasilisha.
Ukiwa Huna hela huwezi kujiamini, wanawake wote wenye mali na madaraka hatataka kukaa na mume asienacho wakikaa na wewe utaosha sana vyombo na manyanyaso mengine mengi sana..Utapoteza hadhi yako ya mbingu kama mwanaume..
Ni nadra sana kwa mwanaume kujiamini kama hana hela (Pesa)....Kwa kifupi wanaume tukikosa pesa hata kujiamin kunapunguaHata sie kina mwajuma ndalandefu tunapenda wanaume wanaojiamini, huku kwenye pesa inatokea tu teh
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni nadra sana kwa mwanaume kujiamini kama hana hela (Pesa)....Kwa kifupi wanaume tukikosa pesa hata kujiamin kunapungua
Tena ukila ganja ndo unakuwa unagwaya kichizi yani...bora hata pombe....Hata nikifika baa kama nna hela ndogo demu akinisogelea nakuwa mkali ili asiniombe biaIli Kujiamini ifanye ' Bangi / Bange ' kama ndiyo ' Substitute ' yako badala ya kukosa Hela na hutoona ' tofauti ' yoyote ile Mkuu.
Hizi ni mbwebwe Mimi hua sicomplicate wanawake n Mali yetu so ishi kama ulivyo akishindwa aende yaan anatakiwa yeye ndio ajishepu kufit your life style sio wewe..kikubwa timiza majukum yako unashindwa jambo usifosi kisa eti uko alphaWanawake wengi wanapenda Mwanaume anajiamini.Mwanamke anahisi yupo salama anapokuwa na mwanaume mwenye kujiamini.Its biology brother Man is a alpha..he is supposed to be an alpha and dominant.Hii no sababu kubwa inafanya wanawake wengi wanapenda ma-players cuz hawa mahakamani wanajiamini mno mzee.That is a secret..Simba jike akitaka kupandwa mara nyingi anatafuta simba dume ambaye ni dominant/alpha.Sasa ukiwa Mr.Nice guy sanaaa mzee lazima ufeli..Utamkosa au Utagongewa..
#Muungwana_John
Hizi ni mbwebwe Mimi hua sicomplicate wanawake n Mali yetu so ishi kama ulivyo akishindwa aende yaan anatakiwa yeye ndio ajishepu kufit your life style sio wewe..kikubwa timiza majukum yako unashindwa jambo usifosi kisa eti uko alpha
Hilo ni tatizo tu la kisaikolojia, ukipata mwanamke anayekukubali utajiaminiNi nadra sana kwa mwanaume kujiamini kama hana hela (Pesa)....Kwa kifupi wanaume tukikosa pesa hata kujiamin kunapungua
Bado ntashindwa kum-control sababu sina helaHilo ni tatizo tu la kisaikolojia, ukipata mwanamke anayekukubali utajiamini
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha kumbe unazungumzia kumcontrol mtu kwa rimoti, nikajua unazungumzia mapenzi na maelewano kati ya wawiliBado ntashindwa kum-control sababu sina hela
Mungu alitupa mamlaka tuwa-control wanawake..sababu wametoka ubavuni mwetuHaha kumbe unazungumzia kumcontrol mtu kwa rimoti, nikajua unazungumzia mapenzi na maelewano kati ya wawili
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooh sawaMungu alitupa mamlaka tuwa-control wanawake..sababu wametoka ubavuni mwetu
Hata sie kina mwajuma ndalandefu tunapenda wanaume wanaojiamini, huku kwenye pesa inatokea tu teh
Sent using Jamii Forums mobile app
Haswaaa
Na bahati nzuri wanaojiamini pia pesa wanazo au kama hawana basi ziko njiani kumtembelea.