Kwanini Wanawake wengi wenye Kazi Kubwa au Mali au Umaarufu huwa wanawapenda mno Wanaume ' wanaojiamini ' hata kama ni Masikini?

Bado ntashindwa kum-control sababu sina hela
Mwanamke anaekukubali anakusikiliza kwa lolote hata hizo pesa haziwazii kabisa kama unazo au hauna. She always strive to guarantee your peace of mind at all costs. Kama ni pesa atakupa zake kama anazo mradi uwe happy. Aisee usiombee kuwa na mwanamke anaekukubali yani hapo ndipo raha ya mapenzi ilipo.

Nakiri kama kuna wakati niliinjoy mapenzi ni wakati nilikuwa na mwanamke wa namna hii. Halafu cha kushangaza alikuwa mzuri ajabu yani tofauti na kazi zote zilizopita. Very quiet and calm. Hakanaga kelele kenyewe!
 
Kujiamini kunapendeza sana..

Afu wanaume wasio na kazi.. Elimu sometimes huwa hawajiamini sijui kwanini


Cc Smart911

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa huna kazi utajiamini vipi mamii? You don't have the balls to pay for any sort of bills brought to your face. Utajiamini vipi kwa mfano na pesa ndio wimbo wa taifa sahivi. Bila hela huna utachofanya ukaonekana mwanaume zaidi ya kukujozana tu ila kimaisha huwezi accomplish chochote.

Elimu doesn't matter maana ni sababu ya stigmatization ila wasio na elimu wakiwa exposed wanakuwaga freshi tu mbona. Mipunga inaleta heshima aisee!!!
 
This one i agree with it. Mwanamke kwanza aoneshe kuwa anakukubali haswa ile kwamba we ndio mjanja wake automatically unakuwa unajiamini sana ila ukipata mwanamke ambaye sometimes anaekukejeli flani au kupenda kuku compare na watu wengine lazma confidence ishuke tu.
I been in both worlds nimekuwa na mwanamke ride or die pamoja na yule wa kuni compare na flani so naongea with experience.

Type 1
Made me feel very confident throughout the relationship, alinifanya kuwa mwanaume haswa, hakunipunja nafasi yangu katika uhusiano kama mwanaume, providing as well as kuwa strategic planner & final decision maker. Kila jambo alikuwa na mimi per se be it good or bad ila hakuniacha alone. Mambo yalikuwa yanaenda vizuri haswa hata changamoto ikitokea ananifariji najipanga vizuri zaidi.

Type 2
Mwanzo nilikuwa very confident ila ikafikia stage kila nalotaka kufanya nasubiri approval yake maana she makes me feel like nakosea katika kila nalofanya kwa sababu ya kejeli zake ama comparing me with others. Mipango ninayofanya ikifanikiwa anafurahia, ikizingua analaumu badala ya kuni comfort ili nijipange upya
wakati nilipokuwa nachukua hio alternative aliikubali over other options. Aliniyumbisha sana yani I felt like i lost the wand kabisa nikawa kama zuzu. Lately, i came to realize ananisaliti pia she was a totally wrong person nikajinasua.
Aisee I hope bado upo nae huyo binti mzuri mzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke anaekukubali anakusikiliza kwa lolote hata hizo pesa haziwazii kabisa kama unazo au hauna. She always strive to guarantee your peace of mind at all costs. Kama ni pesa atakupa zake kama anazo mradi uwe happy. Aisee usiombee kuwa na mwanamke anaekukubali yani hapo ndipo raha ya mapenzi ilipo.

Nakiri kama kuna wakati niliinjoy mapenzi ni wakati nilikuwa na mwanamke wa namna hii. Halafu cha kushangaza alikuwa mzuri ajabu yani tofauti na kazi zote zilizopita. Very quiet and calm. Hakanaga kelele kenyewe!
1 in 1,000,000,000
 
Unakaa na mwanaume asiyejiamini wa nini ? We unawaza mafanikio ye anawaza hiki anachonunua si chake sio chetu ? We unawaza kuendelea kusoma ye anawaza "akisoma si atanipita, nitakua mpuuzi kwake ? " mambo kama hayo yote kwa mwanaume asiyejiamini. Na asipojiamini atakosa msimamo. Akikosa msimamo mtayumba kwenye nyumba.
 
Back
Top Bottom