Kwanini Wanawake wengi wenye Kazi Kubwa au Mali au Umaarufu huwa wanawapenda mno Wanaume ' wanaojiamini ' hata kama ni Masikini?

Ukiwa Huna hela huwezi kujiamini, wanawake wote wenye mali na madaraka hatataka kukaa na mume asienacho wakikaa na wewe utaosha sana vyombo na manyanyaso mengine mengi sana..Utapoteza hadhi yako ya mbingu kama mwanaume..
Unao uzoefu au nizakuambiwa
 
Rejea tu Kichwa cha Habari hapo juu kisha anza zako tu Kutiririka na Kuserereka katika Utoaji wa ' Madini ' yako.

Nawasilisha.
nakukubali sana mkuu

hapa umenena vyema, ila mwanamke yeyote anayejielewa hupenda mwanaume anaejielewa ...meaning mwenye akili na kujiamini
 
Hilo ni tatizo tu la kisaikolojia, ukipata mwanamke anayekukubali utajiamini

Sent using Jamii Forums mobile app
This one i agree with it. Mwanamke kwanza aoneshe kuwa anakukubali haswa ile kwamba we ndio mjanja wake automatically unakuwa unajiamini sana ila ukipata mwanamke ambaye sometimes anaekukejeli flani au kupenda kuku compare na watu wengine lazma confidence ishuke tu.
I been in both worlds nimekuwa na mwanamke ride or die pamoja na yule wa kuni compare na flani so naongea with experience.

Type 1
Made me feel very confident throughout the relationship, alinifanya kuwa mwanaume haswa, hakunipunja nafasi yangu katika uhusiano kama mwanaume, providing as well as kuwa strategic planner & final decision maker. Kila jambo alikuwa na mimi per se be it good or bad ila hakuniacha alone. Mambo yalikuwa yanaenda vizuri haswa hata changamoto ikitokea ananifariji najipanga vizuri zaidi.

Type 2
Mwanzo nilikuwa very confident ila ikafikia stage kila nalotaka kufanya nasubiri approval yake maana she makes me feel like nakosea katika kila nalofanya kwa sababu ya kejeli zake ama comparing me with others. Mipango ninayofanya ikifanikiwa anafurahia, ikizingua analaumu badala ya kuni comfort ili nijipange upya
wakati nilipokuwa nachukua hio alternative aliikubali over other options. Aliniyumbisha sana yani I felt like i lost the wand kabisa nikawa kama zuzu. Lately, i came to realize ananisaliti pia she was a totally wrong person nikajinasua.
 
Back
Top Bottom