Kwanini wanawake wengi wazuri na waliosoma na wenye wanazalia nje ya Ndoa( Nyumbani kwa wazazi wao)

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,930
4,893
Kwa nini wanawake wengi wazuri wa sure na warembo kweli ,wenye kazi zao nzuri na wenye elimu nzuri huzalia kwa wazazi wao yaani wanazaa kabla ya ndoa na ndio hao walio wengi wanaokuwa nyumba ndogo .
Je elimu yao haiwasaidii kujenga familia zao zaidi ya zilizokwisha jengwa na wenzao..
Nimehudhuria vikao vingi vya Chit Chat hakika walio wengi bado bado sana..
Nini Tatizo..Naomba nisirushiwe mawe ni mtazamo tu
 
hyo research yako thow not formal but it has some truth in it,personally i've some views on it which anyone can be against or may accept,
wanawake wengi tulisoma haswa tuliosoma sheria*** hatupendi kutawaliwa which becomes difficult in our African marriages sasa wakuta we end up choosing who we want to get children or a child with,believing that we are able to finance and raise our own kids without a man beside us,
we succeed doing this but logically we affect the kids in one way another,
NB; ***THIS IS MY PRELIMINARY VIEW NOT EVERY WOMAN THINKS THE SAME
 
Hakika nitakupm unafaa kuwa kiongoza kitengo
 
dah! nimeipenda hii...so wadada wasomi hawataki ndoa wao wanataka kupewa mimba tuu alafu kulea wao wenyewe. sasa lakini sii inamaanisha mmekaa kimgegedo gegedo lo mnapenda utamu au sio
 
Kwa nini wanawake wengi wazuri wa sure na warembo kweli ,wenye kazi zao nzuri na wenye elimu nzuri huzalia kwa wazazi wao yaani wanazaa kabla ya ndoa na ndio hao walio wengi wanaokuwa nyumba ndogo .
Je elimu yao haiwasaidii kujenga familia zao zaidi ya zilizokwisha jengwa na wenzao..
hebu jisome vizuri humo kwenye RED.....
Nyumba ndogo na elimu/kazi nzuri wapi na wapi?
kama huniamini mwulize dasophy. hizo sifa hazipo kabisa kwenye kuwa nyumba ndogo
 
Last edited by a moderator:
hyo research yako thow not formal but it has some truth in it,personally i've some views on it which anyone can be against or may accept,
wanawake wengi tulisoma haswa tuliosoma sheria*** hatupendi kutawaliwa which becomes difficult in our African marriages sasa wakuta we end up choosing who we want to get children or a child with,believing that we are able to finance and raise our own kids without a man beside us,
we succeed doing this but logically we affect the kids in one way another,
NB; ***THIS IS MY PRELIMINARY VIEW NOT EVERY WOMAN THINKS THE SAME
Niongezee uloandika shost...Wanawake waloelimika wanajua haki zao,kwahio hawakubali kuonewa au kukandamizwa bila sababu za msingi...Kitu ambacho wanaume wengi wakiafrika hawakiafiki kutokana na mfumo dume walolelewa nao au walouzoea kwamba mwanaume ndio mwenye last say!!Isitoshe wanawake hawahawa wanaojua kujenga hoja wanaonekana ni viburi na wenye midomo mirefu ndio maana wanashindwana na wanaume wengi....Matokeo yake wanaishia kuamua kuzaa na kulea wenyewe inawezekana ni kwasababu umri umekwenda au kwasababu hawataki kuburuzwa!!
 
dah! nimeipenda hii...so wadada wasomi hawataki ndoa wao wanataka kupewa mimba tuu alafu kulea wao wenyewe. sasa lakini sii inamaanisha mmekaa kimgegedo gegedo lo mnapenda utamu au sio

hakuna anaegegendwa akiwa hana reason behind,no woman goes for free
 
Niongezee uloandika shost...Wanawake waloelimika wanajua haki zao,kwahio hawakubali kuonewa au kukandamizwa bila sababu za msingi...Kitu ambacho wanaume wengi wakiafrika hawakiafiki kutokana na mfumo dume walolelewa nao au walouzoea kwamba mwanaume ndio mwenye last say!!Isitoshe wanawake hawahawa wanaojua kujenga hoja wanaonekana ni viburi na wenye midomo mirefu ndio maana wanashindwana na wanaume wengi....Matokeo yake wanaishia kuamua kuzaa na kulea wenyewe inawezekana ni kwasababu umri umekwenda au kwasababu hawataki kuburuzwa!!

Wakati wa maamuzi hayo mnafikiria wazazi wenu kwanini hawakuwalea nje ya ndoa zao mpaka umeweza kuwa na huo utashi???au ni hulka ya ungonoka...mbona mkinyimwa kugegendwa mnalalamika kama mumejitosheleza kwa hoja????unafahamu Maslow Hierachy of need inasemaje???unaweza tenganisha elimu,kazi nzuri na familia za kindoa??? Nini madhara ya single parented???
 
Najua madhara ya single parenting...siafiki kwamba ni sahihi mtu kulea mtoto peke yake anadhurika hilo nalifahamu na naeleza vilevile ukweli kwanini hali kama hio inatokea!!!
Usichanganye elimu ,kazi nzuri na familia za kindoa wapo watu wenye elimu zao nzuri na kazi vilevile na ndoa zao zinaenda smoothly...Cha muhimu ni kupata mtu sahihi unaeendana nae!!
Na hayo mambo ya wazazi wetu ni ya kizamani hakukuwa hata na haki za mwanamke,mwanamke yeye alikuwa chini ya mume tu ni wajibu wake kutii wito wowote,akipigwa ni sawa,mwanaume akimletea maradhi ni sawa n.k
 
Niongezee uloandika shost...Wanawake waloelimika wanajua haki zao,kwahio hawakubali kuonewa au kukandamizwa bila sababu za msingi...Kitu ambacho wanaume wengi wakiafrika hawakiafiki kutokana na mfumo dume walolelewa nao au walouzoea kwamba mwanaume ndio mwenye last say!!Isitoshe wanawake hawahawa wanaojua kujenga hoja wanaonekana ni viburi na wenye midomo mirefu ndio maana wanashindwana na wanaume wengi....Matokeo yake wanaishia kuamua kuzaa na kulea wenyewe inawezekana ni kwasababu umri umekwenda au kwasababu hawataki kuburuzwa!!

Ukweli mtupu!
 
Wakati wa maamuzi hayo mnafikiria wazazi wenu kwanini hawakuwalea nje ya ndoa zao mpaka umeweza kuwa na huo utashi???au ni hulka ya ungonoka...mbona mkinyimwa kugegendwa mnalalamika kama mumejitosheleza kwa hoja????unafahamu Maslow Hierachy of need inasemaje???unaweza tenganisha elimu,kazi nzuri na familia za kindoa??? Nini madhara ya single parented???

wazazi wetu 1st they are old school we cant have the life style they have,though
the popularity of wrong does not make it right but we decide what we want satisfaction is a matter of mental and emotional desires then one can choose any to handle that job,
 
Back
Top Bottom