Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,893
Kwa nini wanawake wengi wazuri wa sure na warembo kweli ,wenye kazi zao nzuri na wenye elimu nzuri huzalia kwa wazazi wao yaani wanazaa kabla ya ndoa na ndio hao walio wengi wanaokuwa nyumba ndogo .
Je elimu yao haiwasaidii kujenga familia zao zaidi ya zilizokwisha jengwa na wenzao..
Nimehudhuria vikao vingi vya Chit Chat hakika walio wengi bado bado sana..
Nini Tatizo..Naomba nisirushiwe mawe ni mtazamo tu