kwanini wanawake wengi wapatapo kazi hudharau waume zao?

mdeki

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
3,300
466
katika jamii yetu imekuwa ikitokea mara nyingi kwa wanandoa pindi mmojawapo apatapo ajira hutokea kutomjali tena mwenziwake hasa kwa wanawake HII INATOKANA NA NINI?
 
katika jamii yetu imekuwa ikitokea mara nyingi kwa wanandoa pindi mmojawapo apatapo ajira hutokea kutomjali tena mwenziwake hasa kwa wanawake HII INATOKANA NA NINI?

hawa wanandoa wanaodharauliana tu sababu ya kazi_sio ndoa ni ndoano,...by the way_kwa mtazamo wangu mm suala la mwanamke wako kukudharau linategemeana sana na wewe mwenyewe ulivyo.
 
Me nadhani wanawake huridhika zaidi wapatapo kazi kuliko wanaume hivyo huona mme c zaidi ya kazi! ILA BAADHI YAO.
 
Hivi kwanini nyie wanaume mnajihisi kudharauliwa tunapokuwa na kazi?

nafikiri uko sahihi kwa kiasi fulani,...hili suala liko kihisia zaidi,...maake mke wangu eti anidharau tu kwa sababu kapata kazi sio rahisi ki hivyo
 
Wasiwasi tu umewajaa hamna lolote. Mlizoea kunyanyasa wanawake kwa kuwa tu hawajiwezi kiuchumi, kitu ambacho kiliwapelekea wanaume kuwafanyia wanawake kila aina ya udhalimu mkijua hawana pa kwenda kwa kuwa maisha yatawashinda..lazima mkubali kwamba mambo yanabadilika. na si dharau kama mnavyoiita, ni upeo wa mwanamke kujitambua na kutambua haki zake, kuwa na uwezo wa ku question na kupewa majibu yanayostahili. Hivyo msiogope ni changamoto tu za maisha..you guys better take it positively. acheni wasiwasi na mambo yatakuwa shwari.
 
katika jamii yetu imekuwa ikitokea mara nyingi kwa wanandoa pindi mmojawapo apatapo ajira hutokea kutomjali tena mwenziwake hasa kwa wanawake HII INATOKANA NA NINI?

Hujiamini tu...
Tatizo mnapenda sana kuabudiwa, mnapenda mara zote wanawake wawe chini ya miguu yenu kuomba na kubembeleza ili muwapangie na kuwanyanyasa mnanyotaka.
Nyumba ya aina hiyo mwanamke hana nafasi ya kuamua wala kupanga chochote ila Mme, sababu ana hela.
Mwsnsmke anapopata hela na kuweza kununua kitu flan, kuanzisha miradi flna mnahisi kudharauliwa, kutokana na kutojiamini kwenu.
 
Wasiwasi tu umewajaa hamna lolote. Mlizoea kunyanyasa wanawake kwa kuwa tu hawajiwezi kiuchumi, kitu ambacho kiliwapelekea wanaume kuwafanyia wanawake kila aina ya udhalimu mkijua hawana pa kwenda kwa kuwa maisha yatawashinda..lazima mkubali kwamba mambo yanabadilika. na si dharau kama mnavyoiita, ni upeo wa mwanamke kujitambua na kutambua haki zake, kuwa na uwezo wa ku question na kupewa majibu yanayostahili. Hivyo msiogope ni changamoto tu za maisha..you guys better take it positively. acheni wasiwasi na mambo yatakuwa shwari.

Asante sana Carmel..hawa wanaume ndio walivyo, hawataki changamoto...
 
Mfumo dume kazini, lakini pole kwa yaliyokukuta, wanawake tukijiwezesha tunaweza!
 
katika jamii yetu imekuwa ikitokea mara nyingi kwa wanandoa pindi mmojawapo apatapo ajira hutokea kutomjali tena mwenziwake hasa kwa wanawake HII INATOKANA NA NINI?

Nionavyo mimi, jamii yetu kwa kiac kikubwa imekuwa ikiendeshwa kwa SERA YA MFUMO DUME, Wanaume ndio kila kitu hususan ktk issue ya kufanya kazi, na wanawake wao ni watu wa shughul za kulea familia. Na hii imejengeka sana ktk mind za watu na ndio maana baadhi ya watu bado wanaendekeza huo upuuzi.

Katika hili mimi naona tatizo kubwa ni wanaume, wengi wao wamekuwa na hisia hasi kuhusu wake zao, utakuta mtu anasema Oooh mimi siwez kupitwa/kuzidiwa na mke wangu ktk issue mbalimbali au siwez mruhusu mke wangu afanye kazi na majigambo mengine mengi yasiyo na kichwa wala miguu.....Kinachotakiwa ni kuondoa fikra hizo mgando na kuelewa kuwa NDOA ni USHIRIKIANO na kila mtu afanyacho ni kwa faida ya mwenzake,Ukilijua hilo nahisi kila mtu aliyeko kwenye ndoa ataondoa huo mtazamo hasi na mtaheshimiana kama kawa.
 
Igwe, asante sana!
respect is earned, commanding haisiaidii wala manipulation!
na wanawake wengi ukiwaona wanawafanyia hivi wanaume ujue ni revenge mara nyingi. wanaume huwa mnasahau money comes and go, unless u ar bill gates! mkipata hela mnanyanyasa mwanamke hadi anajanjaruka,akipata za kwake mziki unaanza upyaa!
hawa wanandoa wanaodharauliana tu sababu ya kazi_sio ndoa ni ndoano,...by the way_kwa mtazamo wangu mm suala la mwanamke wako kukudharau linategemeana sana na wewe mwenyewe ulivyo.
 
jinsi watu wanavyo changia humu unaweza kuhisi ndoa zao zilivyo.......

jamani kabla hamjawa wanandoa,muwe marafiki kwanza

best friends
 
katika jamii yetu imekuwa ikitokea mara nyingi kwa wanandoa pindi mmojawapo apatapo ajira hutokea kutomjali tena mwenziwake hasa kwa wanawake HII INATOKANA NA NINI?
Hivi kuna wanawake wa hivyo? basi mimi mke wangu hayupo hivyo na nime-generalize wanawake wote wako vizuri. Tatizo nisisi wanaume namna tunavyo wa-treat hawa wenzetu sivyo, we emagine mwanamke anaye nyanyaswa na kuambiwa maneno mabaya kisa tu kwasababu hafanyi kazi, wee unategemea nini siku akipata kazi? na hii si kwa wanawake tu hata wanaume
 
nafikiri uko sahihi kwa kiasi fulani,...hili suala liko kihisia zaidi,...maake mke wangu eti anidharau tu kwa sababu kapata kazi sio rahisi ki hivyo
<br />
<br />
umeona eeh, yaani hata kama mke alikuwa ana dharau kabla hajawa na kazi hata akipata kazi itasemwa kazi ndio iliyosababisha. Sasa wanaume sijui wanataka wake zao wawe vidaka matonge!!
 
sio kazi peke yake, mwanamke akiwa na kitu chochote kumzidi mwanaume eg,shule ,pesa,mali basi ataambiwa anadharua bz ana hicho ambacho mumewe hana ,ukijiamini kuwa wewe ndio kidume mkeo atakuheshimu tuu hata akuzidi nini.
 
labda kwako mkuu...............vp process ya dating haikuhusika nni???mana ndo pahala pa kumjua mwenzio vizuri
 
Back
Top Bottom