Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,833
- 155,781
Sijajua ni kwanini wanawake wengi hupenda kuzi expose sehemu zao sensitive kwenye picha.
Labda hufanya hivyo kwa kujua kwamba uzuri wao ni wa kitambo kifupi tu, hivyo ni lazima wau document mapema kabla haujapotea na kuvuruga ushahidi.
Haya na uzuri wake wote ameona akipigwa picha moja huenda mpigaji hato onyesha maeneo yake ya kitalii , kaamuaa na yeye ashike kamera
huyu nae sijui anataka kutupoteza akili kuwa kachanganya pink, blue na nyeusi, anadhani concentration yetu itahamia kwenye tuvifuu twake hapo chini ya kiuno
Mamndenyi, cacico, Madame B, Chocs, Swts hebu njooni huku mnipe majibu

Last edited by a moderator: