Kwanini wanawake wengi mna vitambi siku hizi?

Mwanamke mwenye wowowo hakuna vazi linalomkataa! Hata akivaa gunia anatoka bomba.
endeleeni kuwavesha hayo magunia yenu wapendeze....zamani nlikuwa na mawazo kama yako,baadae nikagundua tofauti na nnalichakachua kila nikihisi linataka kujitokeza!
 
Kitambi kwa mwanaume na tumbo kubwa kwa mwanamke ni uzembe, na inaonyesha jinsi gani usivyojali afya yako i.e. kula hovyohovyo kusiko na mpango esp. unhealthy foodstuff
 
Kitambi kwa mwanaume na tumbo kubwa kwa mwanamke ni uzembe, na inaonyesha jinsi gani usivyojali afya yako i.e. kula hovyohovyo kusiko na mpango esp. unhealthy foodstuff
sherrif wanawake wengi wanapata matumbo sababu ya kujifungua, wale wenye matumbo wakati hawana watoto maybe unaweza sema sababu ya kula
 
endeleeni kuwavesha hayo magunia yenu wapendeze....zamani nlikuwa na mawazo kama yako,baadae nikagundua tofauti na nnalichakachua kila nikihisi linataka kujitokeza!
Utawajua tu wanaotamani wowowo halafu hawana.....ina maana hujawahi ona mwanamke mnene na mwenye wowowo anapendeza?
 
Mhhh wengine tumebeba mafurushi mpaka aibu, ila si kwa kula, asubuhi napata breakfast ya kawaida , nikitoka ofisini nakula chakula cha kawaida tu cha home, then usiku huwa sili kabisa zaidi ya kula matunda, ila mhhhhhhhh!!!!
Natamani kuona picha ya furushi lako. Wala sihitaji picha ya kichwa/uso.
 
Hodii wana jf wenzangu, Kumekuwa na tabia ya akina mama wengi kujiachilia/kunenepeana hovyo (mwanamke shepu) ilihali waliingia ktk ndoa wakiwa wembamba-ndani ya mwaka tu jimama hilooo 85-100kgs...inayopelekea kugawa send off gown 2 beki 3,kukoroma kama machine ya unga,kupumua harufu mbaya..Hii imepelekea ndoa nyingi kuyumba-kwani inamlazimisha mume kuwa na shepu 2 tofauti na uchaguzi wa kwanza (kimiss)..HILI VILE VILE KINA BABA LINAWAHUSU eg, lile jibaba taisonia pale ikulu ya magogoni ni taswira mbaya mbele ya jamii(ubwanyenye,umangimeza, ulafi, uzembe nk)
Mi siwaelewi kabisa we ulipomuoa alikuwa kigoli chuchu saa 3 umemzalisha watoto watatu tena wamefuatana nyumba iko kama kindertgatten muda ataupata wapi wa kujipendezesha unawaonea buree mbona we unajamba usiku halalamiki ni ungetaka abaki alivyo usingelimbandika bandua watoto ambao hata huwezi kuwahudumia acha anenepe maana hakuna muda wadiet na mazoezi!!
 
Mhhh wengine tumebeba mafurushi mpaka aibu, ila si kwa kula, asubuhi napata breakfast ya kawaida , nikitoka ofisini nakula chakula cha kawaida tu cha home, then usiku huwa sili kabisa zaidi ya kula matunda, ila mhhhhhhhh!!!!

Wengine ndo maradhi yetu haya Shantel!
 
endeleeni kuwavesha hayo magunia yenu wapendeze....zamani nlikuwa na mawazo kama yako,baadae nikagundua tofauti na nnalichakachua kila nikihisi linataka kujitokeza!

Siamini! .....yaani unalichakachua wowowo wakati wenzio wanahangaika kwa wachina!!???
 
watu tunatofautiana sana
wengine tuhafurahia mwanamke wako akinenepa
haitusumbui kabisaaaa...

Ahhhhgh!!!!, Wengine too much bwana, Mtu wapata hata kitovu hakioni, kufunga viatu balaa, wakati wa mechi ndio.....aaaghh, hawezi kugeuka!! hapana jamani, tujaribuni kuwa shape nzuri!!
 
Ila kweli kuna watu wanakula sana afu hawanenepi. Ntatafuta mtaalamu nimuulize inakuwaje? Ila nadhani ndio maana wana connect unene na kuridhika. Kwa kuwa hawa wanaokula na kutokunenepa ni wale ambao bado ni vijana unakuta wanasoma sana, hawajuhi maisha ya baadae yatakuwaje basi ni watu wa mawazo. Sasa sijuhi mawazo kama yanaongeza metabolism. Could be, maana hata watu wenye mtindio wa akili wengi ni wanene kwa kuwa hawana wanalowaza.
i think it has more to do with genes na sio kuridhika, wengine wakiwa na ma stress ndo wanazidi kugain weight.
 
Back
Top Bottom