endeleeni kuwavesha hayo magunia yenu wapendeze....zamani nlikuwa na mawazo kama yako,baadae nikagundua tofauti na nnalichakachua kila nikihisi linataka kujitokeza!Mwanamke mwenye wowowo hakuna vazi linalomkataa! Hata akivaa gunia anatoka bomba.
endeleeni kuwavesha hayo magunia yenu wapendeze....zamani nlikuwa na mawazo kama yako,baadae nikagundua tofauti na nnalichakachua kila nikihisi linataka kujitokeza!Mwanamke mwenye wowowo hakuna vazi linalomkataa! Hata akivaa gunia anatoka bomba.
sherrif wanawake wengi wanapata matumbo sababu ya kujifungua, wale wenye matumbo wakati hawana watoto maybe unaweza sema sababu ya kulaKitambi kwa mwanaume na tumbo kubwa kwa mwanamke ni uzembe, na inaonyesha jinsi gani usivyojali afya yako i.e. kula hovyohovyo kusiko na mpango esp. unhealthy foodstuff
Sio kweli vitambi vingine ni genetics mi nilikuwa na kaka anakula huyo balaa lakini hanenepi kabisa.Kitambi kwa mwanaume na tumbo kubwa kwa mwanamke ni uzembe, na inaonyesha jinsi gani usivyojali afya yako i.e. kula hovyohovyo kusiko na mpango esp. unhealthy foodstuff
Utawajua tu wanaotamani wowowo halafu hawana.....ina maana hujawahi ona mwanamke mnene na mwenye wowowo anapendeza?endeleeni kuwavesha hayo magunia yenu wapendeze....zamani nlikuwa na mawazo kama yako,baadae nikagundua tofauti na nnalichakachua kila nikihisi linataka kujitokeza!
ubarikiwe!Utawajua tu wanaotamani wowowo halafu hawana.....ina maana hujawahi ona mwanamke mnene na mwenye wowowo anapendeza?
Natamani kuona picha ya furushi lako. Wala sihitaji picha ya kichwa/uso.Mhhh wengine tumebeba mafurushi mpaka aibu, ila si kwa kula, asubuhi napata breakfast ya kawaida , nikitoka ofisini nakula chakula cha kawaida tu cha home, then usiku huwa sili kabisa zaidi ya kula matunda, ila mhhhhhhhh!!!!
Mi siwaelewi kabisa we ulipomuoa alikuwa kigoli chuchu saa 3 umemzalisha watoto watatu tena wamefuatana nyumba iko kama kindertgatten muda ataupata wapi wa kujipendezesha unawaonea buree mbona we unajamba usiku halalamiki ni ungetaka abaki alivyo usingelimbandika bandua watoto ambao hata huwezi kuwahudumia acha anenepe maana hakuna muda wadiet na mazoezi!!Hodii wana jf wenzangu, Kumekuwa na tabia ya akina mama wengi kujiachilia/kunenepeana hovyo (mwanamke shepu) ilihali waliingia ktk ndoa wakiwa wembamba-ndani ya mwaka tu jimama hilooo 85-100kgs...inayopelekea kugawa send off gown 2 beki 3,kukoroma kama machine ya unga,kupumua harufu mbaya..Hii imepelekea ndoa nyingi kuyumba-kwani inamlazimisha mume kuwa na shepu 2 tofauti na uchaguzi wa kwanza (kimiss)..HILI VILE VILE KINA BABA LINAWAHUSU eg, lile jibaba taisonia pale ikulu ya magogoni ni taswira mbaya mbele ya jamii(ubwanyenye,umangimeza, ulafi, uzembe nk)
Mhhh wengine tumebeba mafurushi mpaka aibu, ila si kwa kula, asubuhi napata breakfast ya kawaida , nikitoka ofisini nakula chakula cha kawaida tu cha home, then usiku huwa sili kabisa zaidi ya kula matunda, ila mhhhhhhhh!!!!
endeleeni kuwavesha hayo magunia yenu wapendeze....zamani nlikuwa na mawazo kama yako,baadae nikagundua tofauti na nnalichakachua kila nikihisi linataka kujitokeza!
huamini nini...sio kila mwanamke anapenda wowowo,napenda shepu nzuri sio kufungasha mizigo isiyo na tijaSiamini! .....yaani unalichakachua wowowo wakati wenzio wanahangaika kwa wachina!!???
watu tunatofautiana sana
wengine tuhafurahia mwanamke wako akinenepa
haitusumbui kabisaaaa...
amin.......Utawajua tu wanaotamani wowowo halafu hawana.....ina maana hujawahi ona mwanamke mnene na mwenye wowowo anapendeza?
Kibaya kwako kinaweza kuwa kizuri kwa wenginehuamini nini...sio kila mwanamke anapenda wowowo,napenda shepu nzuri sio kufungasha mizigo isiyo na tija
Si nimeanzisha ID ingine nimeweka avata ya wowowo tu hujaiona?Natamani kuona picha ya furushi lako. Wala sihitaji picha ya kichwa/uso.
Limeshawahiwa hili na wenyeweWengine ndo maradhi yetu haya Shantel!
i think it has more to do with genes na sio kuridhika, wengine wakiwa na ma stress ndo wanazidi kugain weight.Ila kweli kuna watu wanakula sana afu hawanenepi. Ntatafuta mtaalamu nimuulize inakuwaje? Ila nadhani ndio maana wana connect unene na kuridhika. Kwa kuwa hawa wanaokula na kutokunenepa ni wale ambao bado ni vijana unakuta wanasoma sana, hawajuhi maisha ya baadae yatakuwaje basi ni watu wa mawazo. Sasa sijuhi mawazo kama yanaongeza metabolism. Could be, maana hata watu wenye mtindio wa akili wengi ni wanene kwa kuwa hawana wanalowaza.
Sababu ukiwa na stress unakula hovyo sanai think it has more to do with genes na sio kuridhika, wengine wakiwa na ma stress ndo wanazidi kugain weight.
Sababu ukiwa na stress unakula hovyo sana