Kwanini wanawake wengi kwenye ndoa wanaongoza kudanga siku hizi?

Huyo mwenye pub,amelionea jina Juliana kuiita pub.hili jina linaheshima Sana,kwanza halina makandokqndo,Kuna uzii fulani ulipita humu wa majina ya wanawake machepele,nilikuwa napitia mapendekezo ya watu,lakini sikuona jina la Juliana likihusika kwenye thread.big up kwa akina Juliana.
ivo ee?
 
Hili la wanawake kudanga limekus too much Hadi linaonekana Isha kuwa kawaida sasa.

Kuna thread ililetwa humu na wadau wakatuma link za groups za telegram aisee nikadandia link moja ikanipeleka huko.

Nilicho kikuta hakuna haja ya kuchunga wanawake tuwaache tu maana hata sheria zinawabeba.jaman vijana wa wanaume tuwagundishe vijana wa kiume wadogo kuwa maisha ni pesa na tuwaambukize hiyo spirit na waelewe kweli inatakiwa watafute pesa.

Maana pesa hazita waangusha na zitawapa mwanamke wanae muhiyaji kwa wakati anao taka na mahala popote pale duniani.

Hizi nguvu wanazo zitumia kukimbizana na Hawa wanaeake ni nyingi Sana na wanazitumia vibaya inatakiwa hizi nguvu na maarifa wanayo tumia kwa wanawake watumie kutafuta pesa.

Nisiwe mchoyo wa mambo hata Mimi binafsi katika pitapita huko telegram nikajiokotea bonge la mrembo lipo sinza. nikisema mrembo jua namaanisha piss Kali tako Kama lote akijamba asubuhi harufu unaisikia mchana. Hips ,sura,kiuno chembamba sauti we acha tu nikajizimulia viwili nikalipia elfu 30 japo alinianza na elfu 80 .....nyie wanawake ukiwa na hela ni bidhaa Kama unavyo taka kwenda kununua vocha na wanawake ni hivyo hivyo ......Vijana tujijenge kimaisha Hawa wanawake utakula Sana
Amina mchungaji
 
Pia unaweza kuta ana stress za kudaiwa Kodi ya Nyumba! Watu Kama hao huwa nawaapuuza tu maana ugumu wa Maisha yake hasira zote anamaliza kwa Wanaume,kisa kuna Mwanaume alimuhaidi kumlipia Kodi,baada ya Msela kula Mzigo,akasepa mazima bila hata kumuachia pesa ya Kodi!!
una risiti ya haya maneno umeandika au unanitafuta ubaya?
 
Vikoba vinatufanya tunatafuniwa wake zetu sana daah inauma mno ila UHALISIA hutamalaki....

Mbaya zaidi ni kuwa kila mwanaume haamini kuwa mkewe anatafunwa....🤣🤣
na wengine wako huku hawajui wanatafuniwa!
 
Back
Top Bottom