Kwanini wanawake wengi hupenda kufunga macho wakati wa kufanya mapenzi?

me nafungua macho nione anavyokunja uso ili nicheke huwa nikichekesho ha ha ha ha

aaaha, nyie mbona mnajulikana! Mko kibussiness zaidi kujituma kwa bed hamuwezi na si ajabu ukawa unavuta fegi huku unasoma novel wakati mwenzio anakushughurikia. Sikushangai chagga line!!
 
Pole
WANAWAKE WENGI WAMEUMBWA N HAYA NDIO MAANA WAZINZI WENGI KWENYE NDOA NI WANAUME HAEANA HAYA WAKIVUA NGUO NDIOKWANZA WANALIshikaZ OPERASHEN TOKOMEZA HUKU WA KIKE SANAJIZBA NANIIYAO
 
Maranyingi ni sababu ya ladha tofauti zinazojitokeza zinasababisha ashindwe ku control macho! Kunakuwa na utam, utafungua macho partner aone unavuopata utam, kuna sehem ikiguswa inauma kimtindo! So shuhuli ikichanganya zikagongana tam na chungu wajikuta umefumba macho
 
Ukiona mwanamke anafunga macho constantly ujue anatafuta fantasy. Usikute ana-recall porn alizowahi kuona. No wonder wanawake wengi wana fake orgasm
 
Maana ya fedheha ni nini?

Hata akifanywa na mmewe ni fedheha?

Msamehe hajui asemalo. Kama ni fedheha kwa nini ukimfanya anazidi kukupenda? Kwa nini asikuchukie? Kwa nini awe na wivu atake umfanye yeye peke yake? Hata akidanganywa kuwa unamfanya mwngine kwa nini ana panic?
 
Mmh!huku ukweli hautopata katafute kengine kakikufungia tena macho unakauliza,cjui aibu akizingatia alivyowapangisha foleni mi celewi natafuta niwaulize
 
Back
Top Bottom