UTAFITI: Kilimanjaro yaongoza kwa kuwa na Wanawake wanene na wenye viribatumbo

Habari ya uzima wadau. Mara kadhaa nimekuwa nikikutana na wanawake/mabinti wakilalamikia hali ya kuwa na tumbo kubwa ambalo limekuwa ni changamoto sana kwa wadada wengi.

Swali langu. Je, nini madhara ya kuwa na vitambi kwa wadada? Na kwa wenye uzoefu nini tofauti ya utendaji kitandani kwa wenye vitambi na wasionavyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitambi kinakera katika kuvaa top zile za kifashion au gauni zile za kubana flani hivi..aarrghhhh!! Nakerekaga hapo tu.

Ingawa nimejitahidi now Nina katumbo kadogo hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkoa wa Kilimanjaro umetajwa kuongoza kwa kuwa na wanawake wanene na wenye viribatumbo nchini, Dar imeshika nafasi ya pili, Mkurugenzi wa taasisi ya chakula na lishe Tanzania Dk Germana Leyna amesema.

Sababu hasa zinazopelekea matatizo hayo, Ni kutozingatia lishe bora na mazoezi.
Magonjwa ya matajiri hayo wajihadhari.
 
Back
Top Bottom