figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,890
Heshima yenu mmu.Mimi hadi sasa sijajua nini au ni siri gani iliyopo. Unakuta mtu mmesonga ugali hadi umeiva na kwa kua kazi ya kusonga ugali ni ngumu huna budi kupumzika kila baada ya kusonga ugali tayari kwa ajili ya kuosha mwiko. Mimi ninacho shangaa, ni kwanini wanawake walio wengi hawapendi mwiko utolewe kwenye ugali ili uoshwe halafu ndo uendelee kusonga ugali mwingine??. Utasikia "huo mwiko usiutoe uache humo humo". na ukiforce kuotoa mwaweza kosana. kwanini inakua hivyo?. welcome. mia