kwanini wanawake wengi hawapendi mwiko utolewe baada ya kusonga ugali??

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
Heshima yenu mmu.Mimi hadi sasa sijajua nini au ni siri gani iliyopo. Unakuta mtu mmesonga ugali hadi umeiva na kwa kua kazi ya kusonga ugali ni ngumu huna budi kupumzika kila baada ya kusonga ugali tayari kwa ajili ya kuosha mwiko. Mimi ninacho shangaa, ni kwanini wanawake walio wengi hawapendi mwiko utolewe kwenye ugali ili uoshwe halafu ndo uendelee kusonga ugali mwingine??. Utasikia "huo mwiko usiutoe uache humo humo". na ukiforce kuotoa mwaweza kosana. kwanini inakua hivyo?. welcome. mia
 
mwiko ukilowekwa ndo unaosheka kirahisi,labda anangoja uloe...ila kama mwiko bado mkavu,hiyo mpya...mia
 
Mh! embu nieleweshe mm nimeshindwa kukuelewa, una maana gani?:confused2::confused2:
 
Mimi ninacho shangaa, ni kwanini wanawake walio wengi hawapendi mwiko utolewe kwenye ugali ili uoshwe halafu ndo uendelee kusonga ugali mwingine??. Utasikia "huo mwiko usiutoe uache humo humo". na ukiforce kuotoa mwaweza kosana. kwanini inakua hivyo?. welcome. mia
Ukiambiwa hivyo, ujue kuwa wakati wa maandalizi ya mapishi maji hayakuchemka na kufikia kizingiti cha mchemko; aidha, wakati unakoroga unga na maji ulifanya haraka haraka maji na unga havikuchanyikana vizuri. Sasa ukilazimisha kuutoa huo mwiko, halafu akaja mpishi mwingine akachemsha maji mpaka nyuzi joto 100, akachanganya unga na maji moto vizuri, akachelewa kutoa mwiko, siku zitakazofuata utakuwa namba 2 katika kupikia hiyo sufuria !!!!
 
Ha ha ha mia bana hii kali ya leo kha?!! Mwiko usitolewe ukiona hivyo ugali m-bichi huo haujaiva kabisa kama ugali umeiva kwanini usitoe mwiko?!! Tena uoshwe vizuri na uwe tayari kupika tena ha ha ha. MOD peleka hii makitu jukwaa la over 18
 
Heshima yenu mmu.Mimi hadi sasa sijajua nini au ni siri gani iliyopo. Unakuta mtu mmesonga ugali hadi umeiva na kwa kua kazi ya kusonga ugali ni ngumu huna budi kupumzika kila baada ya kusonga ugali tayari kwa ajili ya kuosha mwiko. Mimi ninacho shangaa, ni kwanini wanawake walio wengi hawapendi mwiko utolewe kwenye ugali ili uoshwe halafu ndo uendelee kusonga ugali mwingine??. Utasikia "huo mwiko usiutoe uache humo humo". na ukiforce kuotoa mwaweza kosana. kwanini inakua hivyo?. welcome. mia

Hapo kwenye red: Wengi wagapi? Umewajuaje hao wengi? Ukiona hivyo, jua haujaivisha ugali.
 
Mwiko unaoshwa kwa pembe za sufuria. Kama unataka kupikia hilo sufuria mara mbili, haina shida ya kutoa ila sasa nisichoelewa maji ya ugali wapili yanachemka saa ngapi? Au yanachemka mwiko ukiwa humo humo?
 
Heshima yenu mmu.Mimi hadi sasa sijajua nini au ni siri gani iliyopo. Unakuta mtu mmesonga ugali hadi umeiva na kwa kua kazi ya kusonga ugali ni ngumu huna budi kupumzika kila baada ya kusonga ugali tayari kwa ajili ya kuosha mwiko. Mimi ninacho shangaa, ni kwanini wanawake walio wengi hawapendi mwiko utolewe kwenye ugali ili uoshwe halafu ndo uendelee kusonga ugali mwingine??. Utasikia "huo mwiko usiutoe uache humo humo". na ukiforce kuotoa mwaweza kosana. kwanini inakua hivyo?. welcome. mia
mkuu kwenye mada ya tafsida haujacha kitu...hongera
 
Yaelekea huwa unasonga ugali haraka haraka kiasi kwamba huivishi ugali. Wanataka mwiko ubaki ili ugali uive kabisa!! Jitahidi uwe unasonga hadi uhakikishe wao wenyewe ndio wanataka uutoe mwiko!!

Haaaa Rejao hadi kwenye upishi upo lol
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom