Kwanini wanawake wengi hawapendi kujishugulisha kwenye tendo la ndoa?

aisee! chuo chenu kipo wapi mnifundishe mimi,afu mimi nimfundishe my wife wangu,na ada ni sh. ngapi? na vitendea kazi ni vipi?
Majibu fatadhari.

ngoja nipate mawasiliano ya yule mama. alikuwa anakaa mwananyamala unamlipa anamfunda mwali au mke kwamwezi, unamlipa .sijui kama yupo tena nitauliza. long time kidogo mkuu
 
Pole kama ndio type unazopata,naamini kama unampenda na tendo lenyewe mnapaswa mlifurahie,kama haiwezi utakavyo just muelekeze kwa upole na upendo!kuliko kuja na hitimisho hapa ambalo halitaleta mabadiliko kwa hao ulioita wanawake wasiokupa ushirikiano .
 
Si wote Mkuu,na kama wako hashughuliki basi jua hujamkuna vzr,ile kitu ilivo tamu utaachaje kushughulika…!!!
 
ila pana ukweli mana mimi nimekutana na wwnawake magogo kitandani kama mara kumi na mbili hiv,,,,,mie kama hajishugulishi napiga kimoja tuu nasepa zangu
 
Weee! acha tu wengine kama kisiki cha mpingo hata upige shoka vipi hubandui kitu.

wew mtu nouma sana....kuwa ni kisiki cha mpingo,ila kwel wapo unatwanga kila kona ila hata hayumbi duuuuu......acha watu wachepukeee
 
Co wote km wako yupo hivo pole yako mfundishe kwn HT ktk mapenzi kuna kuzidiana vyeo
 
Malezi walikotoka hawakufundwa namna hiyo na wengine wanahisi akiwa bize sana utamhis kahaba
 
Luna wanake wavivu balsa. Ukimgusa ndio Mwanza anakwambia nimechoka, meshing nimebanwa na kichomi, meshing kutwa Micheal kinaniuma. Hivi ukichepuka Luna lawama keeling..?
 
Mtoa mada ni mtoto mdogo anataka tu kujifunza kutoka kwetu ili apate uzoefu.
 
Jamani wana Jf hivi ni kwa nini kina dada wengi hawapendi kutoa ushirikiano kwenye tendo la ndoa wanakuwa wanalala tu wanakuacha mwanaume uhangaike kwa kila kitu..!!?.

ndio wazuri hao.....wanaokata mauno kwa fujo na makelele ni malaya.
 
Lbd huyo wako tu na sio wotee... Au umeoa masai wa mbugani maana ni marufukuu kuhangaika mume anapokuhitaji na ukijishughlisha utasema wapi ulikojifunzia huo umalaya na unafanyaga na nani malaya mwenzio!
 
Wewe piga show inawezekana ikawa hasikii chochote ila ukipiga shoo ya kutosha atatoa mlio tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom