Kwanini wanawake wengi hawana huruma?

Mbona vyake unakula? Acha kuzuga kwa kisingizio cha muda, sema kama unamuuzia au la, mtu ajue moja kama ananunua au la, ya nini kuzungushana?
Jamaa alikuwa bado mtoto naisi yani uachwe kisa mbumbu ujiuwe anyway endelea kujifunzaa ata manzi kutokujali ilikuwa sahihi
 
Mbona vyake unakula? Acha kuzuga kwa kisingizio cha muda, sema kama unamuuzia au la, mtu ajue moja kama ananunua au la, ya nini kuzungushana?
Vyake unamaanisha vocha?

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Habarini! Nilipokuwa JKT sehemu fulani, siku moja msichana mlokole na anayesema anamjua Mungu alikuwa akipiga stori na mwenzake.

Katika stori akasema kwa kujisifia kuwa ameshawahi kuumiza vibaya moyo wa mwanaume wake aliyekuwa akimpenda sana, akasema kuwa mpaka mama wa mwanaume alikuwa akifahamu uhusiano wao.

Ilipelekea mpaka yule mwanaume kutaka kujiua ila binti anasema hakujali wala nini, na sababu kuu ya kumuacha na kuuvunja moyo wake ni kuwa, jamaa alimuomba demu sex, demu akakataa. Hapa naamini ni kweli alikuwa akijitunza na ndio maana akakataa kusex.

Pia anakiri kuwa huyu mwanaume wake alikuwa akimuhudumia kadri ya uwezo wake, vocha ameshamtumia sana na mambo mengine.

Binti huyu mlokole najiuliza ni kwa nini alikuwa katili hivi? Yaani anaongea huku anacheka bila hata chembe ya huruma kwa mwenzake!

Yaani unapataje raha ya kucheka na wenzio huku umemuumiza vibaya mtu, na yupo kwenye mateso? Kumbe hatutakiwi kuwaonea huruma na ninyi mkitendwa sio?

Kwa sababu huwa mnajiliza sana mkitendwa, yaani unamjeruhi mtu hivyo na hujali?

Ifike wakati JF wawe na jukwaa maalum la watoto wadogo kusudi nao wapate kupost mada zao.

“Hivi yule mwenzetu aliyechomwa moto ndani ya nyumba akapoteza uhai atasemaje huko alipo muda huu kama hujui maana ya kutendewa ukatili”
 
Kwa sababu walikutana na shetani laivu pale Eden.

Ukiwajua, Dawa yao huwa ni ndogo tu, Usijenge kibanda.

Tongoza nyoka wengi kadri uwezavyo hata 12-24 kwa mwezi, Ili uwe na wengi walotia saini.
Akizungua huyu unaruka kwa yule, Yule akizingua unaruka kwa huyu.

Hakuna nyoka atakaye kuletea kibri wala jeuri tena.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom