Kwa nini wanawake wazuri sana kwa umbo wengi wao hawaolewi??

Dumelambegu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
1,052
257
Jamani hako ni kautafiti kadogo tu nilikofanya. Naomba msinishambulie sana wazee wa research. Katika tembea tembea yangu, nimekutana na wanawake wa kila aina. Lakini mara nyingi kila ninayemwona mzuri tena mzuri haswa, nashangaa hajaolewa. Hii imenitokea mara nyingi sana. Siku moja tulikuwa tunaongea na rafiki yangu mmoja kuhusu suala hili, ajabu nae aliniunga mkono kwamba wanawake wazuri sana kwa maumbo wengi wao huishia kuzalishwa na kuishi single.

Haya wanaJF mnakubaliana na conclusion hiyo, na kama ndivyo, sababu yake ni nini?
 
Mkuu uko right kabisa, wengi tunaogopa pressure tunawaona sana!!!!!
 
Mkuu sababu inaweza ikawa moja kubwa.hawa viumbe wanakosa bahati hiyo kutokana na wao wanapojitambua kwamba wao ni wazuri.hujikuta wanakosa heshima kwa mpenzi/mume hujionyesha dhahiri kwamba wao wanamajivuno hata ukimpa kibuti haitapita siku moja kabla hajapata mtu atake mwahidi ndoa.tena wanakamsemo kao WEWE UNANIONA WA NINI WENZIO WANAONA WATANIPATA LINI
 
Heee mie mbona mzuriiii na nimeolewa?? :rain::rain::rain:

Hongera zako Maria. Wengine wanaogopa pressure za binti aliyeumbika kuangaliwa kila apitapo huku njemba zikitokwa na udenda.
:behindsofa:
 
Ni kweli kabisa mimi nikiwa ni mmojawapo huwa tunaringa sana sababu unakuwa na list ndefu huko nyuma inakusubiri so maringo kibao. Kuna msemo mwingine unasema men are like daladala if u miss one another one is around the corner.
Matokeo yake tunaishia kuolewa na wanaume wa ajabu ajabu tena wengine wazee. Maoni yangu sijamsemea mtu nimejisemea mwenyewe
 
Tatizo maringo yanakuwa mengi sana,mimi nilikuwa nae mmoja akaniambia eti yeye ni mzuri nisijaribu kumuacha nitajuta yeye ndio anajuta saa hizi baada ya kumwaga,wanajisahau sana kwa jinsi wanaume wanavyobabaika juu yao
 
Hao wazuri mnaowasemea hebu niambieni wakoje. Nataka nijilinganishe....
 
Hao wazuri mnaowasemea hebu niambieni wakoje. Nataka nijilinganishe....

ni wale ambao kwa maoni ya wengi inadaiwa kwamba ni wazuri wa umbo (utasikia miguu ya bia, umbo namba 8, english figure, nk) na sura (baby face, nk), lakini mara nyingi watu hawaangalii tabia zao!
 
Mkuu sababu inaweza ikawa moja kubwa.hawa viumbe wanakosa bahati hiyo kutokana na wao wanapojitambua kwamba wao ni wazuri.hujikuta wanakosa heshima kwa mpenzi/mume hujionyesha dhahiri kwamba wao wanamajivuno hata ukimpa kibuti haitapita siku moja kabla hajapata mtu atake mwahidi ndoa.tena wanakamsemo kao WEWE UNANIONA WA NINI WENZIO WANAONA WATANIPATA LINI

ha ha ha nina hako kamsemo subri nikaache mara moja nisije kosa mwanaume
 
Heee mie mbona mzuriiii na nimeolewa?? :rain::rain::rain:

Maria Roza!

Nani kakwambia ww ni mzuri kwa kiwango chake! Nway labda mpaka tuku asses! tehehehe haya mamaa yawezekana mzuri, ila co kwamba wote hawaolewi ila fractional ni ndogo sana!

Thanks
 
wengi wa hao wanawake wanapopevuka hufwatwa saaana na wanaume wenye pesa na asilimia kubwa ya wanaume wenye pesa ni waume za watu na ili kumnasa kirahisi pesa zitamwagwa hapo ahadi kemkem so utakuta mwanamke kamaliza tu form four tayari ananunuliwa gari na mme wa mtu kapangishiwa nyumba nzima kafunguliwa biashara so kwa dizaini hiyo wewe bachelor uliyemaliza chuo ndo kwanza unaanza kazi na kimshahara cha mwazo ukimpata mwanamke wa hivyo utaishia kuchanganyikiwa tu. waume za watu wengi ndiyo wanaowaharibu hawa wasichana. nna mifano minne ambayo ina support mawazo yangu. sasa hivi kuna dada yupo ofisini nnapo fanya kazi ana t.a.k.o la kufa mtu na ni mzuri kweli hapo alipo salary ni kwa commision lkn anatembelea VEROSA wapo weeengi tu ma meneja directors MDs wanawapromote isivyotakiwa. so mkubwa ukimwona wa hivyo wewe tambaaaa utaumia tu
 
Back
Top Bottom