Dumelambegu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 1,052
- 257
Jamani hako ni kautafiti kadogo tu nilikofanya. Naomba msinishambulie sana wazee wa research. Katika tembea tembea yangu, nimekutana na wanawake wa kila aina. Lakini mara nyingi kila ninayemwona mzuri tena mzuri haswa, nashangaa hajaolewa. Hii imenitokea mara nyingi sana. Siku moja tulikuwa tunaongea na rafiki yangu mmoja kuhusu suala hili, ajabu nae aliniunga mkono kwamba wanawake wazuri sana kwa maumbo wengi wao huishia kuzalishwa na kuishi single.
Haya wanaJF mnakubaliana na conclusion hiyo, na kama ndivyo, sababu yake ni nini?
Haya wanaJF mnakubaliana na conclusion hiyo, na kama ndivyo, sababu yake ni nini?