Kwanini wanawake wanavutiwa na mimi japo sio handsome, sina hela wala sijui kuvaa vizuri?

Namba 26

JF-Expert Member
Oct 15, 2018
309
917
Huwa nashangaa sana, mimi sio handsome kwanza mimi mweusi kama mkaa, sina hela, sijui kuvaa (sio bishoo) yaani muhuni muhuni kimtindo.

Lakini wanawake kibao shobo nyingi hawanipingi kivyovyote. Hakuna mwanamke nikamuwekea tageti ya kumla nikamshindwa na amini usiamini kutongoza sitongozi natumia tu mbinu zangu nazozijua kumla na sio kwa malipo wala nini.
 
Ushauri wangu jipange oa maana iko siku itakuwa historia huu ndio muda wa kuchagua nakutulia yule ambaye nisa hihi.
Yaani huu muda ni wako.
Nisawa na zamani ilikuwa mzee yusuph ila muda wake sio sasa .
Je wanamuziki wa zamani sasa muda sio wao ni wakina Nandy .
Nadhani umenielewa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom