Kwanini wanawake wanapenda kupiga picha wakigeuza makalio kisha kuzirusha kwenye mitandao?

chanawaleti

Senior Member
Jul 4, 2016
176
209
Sijui tuseme fashion au biashara matangazo au maana imezidi kila msichana anatupia chafu pozi akiwa kageuzia makalio sasa ndiyo nini ebu jirekebisheni aisee.
6e22aebf82404cc6d47695c294151d4f.jpg
 
We KUSHOKA Hawa hatujazaliwa nao hata nyumbani siku moja moja unaulizia kimtindo unatuma mshenga kidole ikibidi piga piga brush unaweza kuta wife ndio michezo yake bora utafune mwenyewe kuliko aweanampelekea mtu
 
Biashara matangazo. Ndio maana siku hizi hata chupi za akina dada zimebadilika, Zamani ulikuwa unafunua CHUPI ili uone TAKO, siku hizi unafunua TAKO ili uone CHUPI. Ni biashara hio, ila wananiudhi tu cuz kwa makalio na Papuchi siku hizi wanachukulia kama ndio kila kitu katika maisha. kumbe watu wanagonga na kusepa.
 
daa apo kwenye unafunua tako ndiyo uone chupi umeua daaaaaaaaaaaaaaaaa
 
wapenzi wenyew hamtusifii wake zenu sa situnaamua kubip kwingne kujhakikshia.
 
Biashara ni matangazo. Zamani bidhaa zote ziliuzwa ndani ya maduka. Hakukuwa na mchuuzi bali wachuuzi walikuwa wa samaki. Leo biashara inatolewa dukani ndani ya maboksi na kupangwa nje barabarani lengo watu wazione kwa wepesi na wanunuwe. Wanawake nao wamegundua wakikaa wasubili wakiwa makwao mtu awaone mwisho wa siku watachina. Kwa kupitia mitandao wanajitangaza kuanzia makalio,mabaja na matiti ili wenye kuona na kuvutiwa wasogelee.
 
kuna ka-mtandao kamoja sikataji huko ndio kuna university ya kubinua matako, yaani mtu anakalia ndoo ya plastic upande ili tako libinuke na kasha ajiselfie
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom