Kwanini wanawake wanaofanya kazi kwenye bar ama mahotel makubwa wana pepo la ngono?

Qassim14

Senior Member
Oct 10, 2017
182
202
Salaam ziwafikie wote na amani ya muumba itulinde hadi siku inaisha salama,

Kama kichwa kilivyotangualia kuelezea,

Mada ni kwanini wanawake wanaofanya kazi kwenye mabar ama mahotel makubwa ama nyumba za wageni wanaonekana ni watu wenye asilimia nyingi za ongezeko la pepo la ngono ama biashara ya ngono?

Kwani zile si kazi kama zilivyo nyingine?

Mrazamo wangu na ushauri usimchukulie mtu kwa namna unamuona tu kwa macho.

Nawasilisha kilio hiki, mtazamo wenu wakuu
 
Imezoeleka kwamba kazi nyingi ambazo zinafanyika kwa mazoea bila kujali taaluma zina manyanyaso sana na wengine kutumia miili yao kukidhi mahitaji yao ya ziada. Wapo wanaofanya kwa starehe na wengine kujihakikishia ajira.
Lakini hii haimaanishi kuwa lazima.upitie mkumbo huo. Ukiamua mambo hayo utabaki kuyaona tu na kusimuliwa. Kupanga ni kuchagua.... Na kujitambua ndiyo nguzo kuu.

Pole kwa maumivu
 
Back
Top Bottom