WomanOfSubstance
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 956
Hii ishu haina jibu moja...maana mwanadamu ni kiumbe dynamic..kila mara hubadilika..hutaka mambo tofauti.Kwa kifupi mwanadamu haridhiki.Ukimpa jua, atataka mvua.Ukijipamba umridhishe, atataka asiyejipamba - aliye "natural".Ukimpa attention sana, bado atalalamika kuwa unamnyima pumzi.Mradi tu atatafuta sababu kuonja nyasi zilizopo nje ya uzio/wigo.Matatizo yapo kote kote kama alivyosema BAK:
Huwezi kutegemea hali ibaki vilevile... uchumba na ndoa ni tofauti.Mabadiliko haya si kwa wanawake tu hata wanaume hubadilika pia.Enzi za uchumba kulikuwa na kuitwa darling, sweetie, honey kwa saana! Sasa imebakia " mama fulani". Hivyo ni vema kuwa na mazungumzo zaidi na kuendelea kuchochea moto wa mapenzi yenu badala ya kufikiri ni automatic tu kuwa mambo yatabakia yalivyokuwa mwanzo.
Tukumbuke kuwa kukimbia tatizo si suluhisho.Utaenda kwa kimada na baadae mambo yatakuwa yale yale!!!Kimada atakuja kuwa kama huyo mke ambaye umemkimbia na pengine akawa kero zaidi kwa ung'ang'anizi na blackmail!
Kama ni visingizio, hata wanaume wapo wenye visingizio.Kuna bwana mmoja alienda kumwomba daktari wake amwandikie kuwa haruhusiwi kufanya tendo kwa mwezi mzima.Kisa hakuwa tu kwenye mood na mkewe. Visingizio hutolewa na pande zote vikiwa na maana fulani kama alivyosema Pretty hapa chini:Kwa maoni yangu matatizo ya ndoa yanayosababishwa na uvivu wa mapenzi yako pande zote mbili. .
Maisha tunayoishi miaka ya sasa, yana msongo ( stressful) na hii huathiri ndoa.Watu wanachoka kuliko kawaida, wana mawazo ya kukimbiza shilingi ambayo haikamatiki, na hapo hapo kwa wanawake, majukumu ni mengi mno kiasi kwamba wanapofika nyumbani hawapumziki vya kutosha.Ukiona mkeo mvivu wa mapenzi ujue tatizo liko kwako mume, kama mtu humfurahishi kimapenzi au unamwacha njiani humfikishi kwenye kilele lazima ataona kufanya mapenzi ni karaha na kuanza visababu kama hivyo mara nimechoka au sijisikii vizuri leo ilimradi tu atoe sababu.
katika huo utafiti wako jaribu kutafuta sababu ni nn haswa cha kufanya wanawake kutoa visingizio vya uchovu.
Siyo sahihi kusema ati wanawake wakishaolewa inakuwa basi.Fidel anazungumzia mambo yalivyokuwa kabla ya ndoa na baada:At least enzi hizo baba alikuwa anapumzika jioni kwani ametoka kutafuta lakini sasa tamaduni zimegongana wanatafuta wote lakini bado kuna ile ya zamani haijaisha kwenye system baba mtafutaji mama mleaji. Hivi kweli going forward solution ni nini? Au hii generation ya wanawake ndio wasacrifice for the future? Labda ni mwanzo wa kuwalea watoto wetu in such a way watakapokuwa na familia zao haitakuwa hivi ilivyo sasa
wanawake wakisha olewa basi wanakuwa hawajitumi kama ulikuwa unapewa TG kipindi cha uchumba ukisha funga nae ndoa na akazaa hilo swala sahau kama ulikuwa unapewa kila aina ya style kama mama nzawisa sasa sahau utakuwa wewe na yeye kifo cha mende tu kisa kachoka, umri n.k
Huwezi kutegemea hali ibaki vilevile... uchumba na ndoa ni tofauti.Mabadiliko haya si kwa wanawake tu hata wanaume hubadilika pia.Enzi za uchumba kulikuwa na kuitwa darling, sweetie, honey kwa saana! Sasa imebakia " mama fulani". Hivyo ni vema kuwa na mazungumzo zaidi na kuendelea kuchochea moto wa mapenzi yenu badala ya kufikiri ni automatic tu kuwa mambo yatabakia yalivyokuwa mwanzo.
Tukumbuke kuwa kukimbia tatizo si suluhisho.Utaenda kwa kimada na baadae mambo yatakuwa yale yale!!!Kimada atakuja kuwa kama huyo mke ambaye umemkimbia na pengine akawa kero zaidi kwa ung'ang'anizi na blackmail!
MwanaF1 Umehitimisha vizuri sana kuwa it takes two to tango!acheni kudanganyana hata kwa huyo kimada ukimto*** kila siku utasikia hayo hayo kachoka...msiwasingizie wake wa ndoa babu eee!
Tukiendelea kuwa na mtizamo kuwa ni jukumu la mke kubeba mzigo wa kuimarisha au ku sustain ndoa, tukumbuke hakuna anayeweza kubeba mzigo mzito peke yake bila msaada milele.Kuna siku huyohuyo mke ataubwaga huo mzigo!It takes two to tango. Makosa yanakua ya wote. Unajua usipo muambia mtu kuna tatizo fulani basi hata wewe una kosa. Kumbuka kama mwenzio haoni kuwa anafanya kosa lolote basi hawezi jirekebisha, ni mpaka hapo utakapo muambia. Wanaume wengine nakubali wanakua ni selfish na wana jiangalia wenyewe lakini na mama nae lazima aseme.
If the love life is good non of you will think of cheating. Ongea nae muimprove tendo lenyewe, maana ya kuwa mke na mume si kushirikiana na kusaidiana katika kila kitu?