Kwanini Wanawake wanakuwa wavivu kimapenzi katika Ndoa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini Wanawake wanakuwa wavivu kimapenzi katika Ndoa?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mmaroroi, May 18, 2009.

 1. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2009
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Katika utafiti wangu mdogo nilioufanya Wanawake wanaonekana ni wavivu wa mapenzi katika ndoa.Viashiria vyake ni wanaume kuwa na nyumba ndogo kutokana na kutotosheka kimapenzi katika ndoa.Waliotoa maoni hudai kuwa mke wa ndoa huwa na visingizio vingi kama nimechoka,usinichakaze,usinifanye malaya(changudoa),bado ninalea na vingi vya namna hiyo.Visingizio hivyo havipo anapotoka nje ya ndoa hivyo kuona ndoa ni mzigo kimapenzi na kusababisha kupungua kwa matunzo katika familia.Je wanandoa hakuna haja ya kuweka mkakati ili kutatua tatizo hili?
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,691
  Likes Received: 82,571
  Trophy Points: 280
  Unaweza kutupa ukubwa wa sample yako katika 'utafiti wako mdogo' na pia utafiti huo uliufanya kwa muda gani na mikoa ipi ya nchi yetu? Je, uliangalia pia tatizo la njemba kuwa na nyumba ndogo kama halitokani zaidi na wanaume kupenda kuwa na wanawake wa nje zaidi kuliko kutoridhishwa kimapenzi majumbani kwao? Tumeona hapa JF wanawake wakilalamika kwamba wanajitahidi kuwavutia waume zao kwa kujiremba lakini juhudi zao hazionekani, je hili nalo uliliangalia katika utafiti wako? Kwa maoni yangu matatizo ya ndoa yanayosababishwa na uvivu wa mapenzi yako pande zote mbili. Tuliona dada mwingine hapa ambaye alikuwa analalamika kwamba jamaa yake akimaliza round moja inabidi asubiri siku tano au zaidi ili kufanya tena mapenzi. Hii ni dalili mojawapo ya uvivu wa mapenzi unaosababishwa na mwanaume.
   
 3. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #3
  May 19, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Ukiona mkeo mvivu wa mapenzi ujue tatizo liko kwako mume, kama mtu humfurahishi kimapenzi au unamwacha njiani humfikishi kwenye kilele lazima ataona kufanya mapenzi ni karaha na kuanza visababu kama hivyo mara nimechoka au sijisikii vizuri leo ilimradi tu atoe sababu.
  kuna wanaume wao wanataka penzi tu kutoka kwa mke, hawana hata muda wa kucheza na mke wake.
  katika huo utafiti wako jaribu kutafuta sababu ni nn haswa cha kufanya wanawake kutoa visingizio vya uchovu.
   
 4. J

  Joyceline JF-Expert Member

  #4
  May 19, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 1,010
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  unajua mapenzi siyo lazima sex tu , mara nyingi wanawake wanachoka kwa sababu wanaume wanaangalia lile tendo tu na wanakuwa wabinafsi yeye akishatosheka anaacha, ndo mana wanawake wengi wanalalmika uchovu halafu unakuta yale mapenzi aliyokuwa anampa zamani yameisha anaona huyu amekuwa mama vitu vingine tuviache, halafu mama anashinda nyumbani na kazi nyingi au akitoka kazini makazi mengi zinaisha ssaa nne usiku yuko hoi mume kazi kubadilisha channel hata hamsaidi unafikiri akifika kitandani ataweza kitu.
   
 5. R

  REOLASTON Member

  #5
  May 19, 2009
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na wanaume wengine wakishajisikia wao basi hawajali mwezie naye anajisikia au hajisikii wanataka wao kumaliza haja zao fasta fasta na kulala. wanawake wengine unakuta anamkubalia mumewe ili amridhishe tuu lakini yeye hafurahii tendo lenyewe.
   
 6. S

  Subira Senior Member

  #6
  May 19, 2009
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 162
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  wote waliojibu hapo juu ni sahihi kabisa, na kwa muulizaji napenda kukufahamisha sababu kuu ya nyumba ndogo zimejibiwa na kitabu kiitwacho"why men cheat" hata majuzi imetoka kwenye oprah w.show.
  hakuna kitu kikubwa kama mama kuinusuru ndoa yake.
   
 7. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #7
  May 19, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  kwanza inabidi ujifunze kutoa shukrani kama unavyopokea. Thanked 76 times but thanks 0?! Au... Kuchangia hoja yako, wanawake walichohitaji wamdpata-ndoa
   
 8. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #8
  May 19, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  litakuwa ni jambo la busara kama utaweza kuchangia kwa kutowa maelekezo jinsi gani ya kufika huko kileleni kwani naimani kuna baadhi ni wakwezi wa minazi na hutumia kitu kinachoitwa pingu za kukweya minazi.
   
 9. k

  kitatange Member

  #9
  May 19, 2009
  Joined: Aug 1, 2008
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nafikiri ni kweli kuwa by the time mama anafika kitandani anakuwa hoi especially working mothers. Two boses to save and still unahitaji time for herself, boring enough ni mimi nipo naangalia zangu mpira though na yeye anatamani lakini tamaduni zimeshatujenga hivi. At least enzi hizo baba alikuwa anapumzika jioni kwani ametoka kutafuta lakini sasa tamaduni zimegongana wanatafuta wote lakini bado kuna ile ya zamani haijaisha kwenye system baba mtafutaji mama mleaji. Hivi kweli going forward solution ni nini? Au hii generation ya wanawake ndio wasacrifice for the future? Labda ni mwanzo wa kuwalea watoto wetu in such a way watakapokuwa na familia zao haitakuwa hivi ilivyo sasa
   
 10. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #10
  May 19, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...kwani, kwa 'kawaida' tuliooa inakubalika tujamiiane mara ngapi na mwenzi wako katika wiki moja (kwa mfano?)
   
 11. Penny

  Penny JF-Expert Member

  #11
  May 19, 2009
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 577
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hapa inategeme na hormones zenu...mnaweza kujamiana everyday kama inawezekana...ila nasikia ni vizuri at least three times a week, from my view of point.
   
 12. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #12
  May 19, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Jamani msitake kumchosha reseacher wetu.
  Mi namuunga mkono mia kwa mia na ni kweli wanawake wakisha olewa basi wanakuwa hawajitumi kama ulikuwa unapewa TG kipindi cha uchumba ukisha funga nae ndoa na akazaa hilo swala sahau kama ulikuwa unapewa kila aina ya style kama mama nzawisa sasa sahau utakuwa wewe na yeye kifo cha mende tu kisa kachoka, umri n.k
   
 13. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #13
  May 19, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Tuwe tunajaribu kuongelea na uzoeefu kwani wewe unapendelea mara ngapi kwa week je kila siku au ndo mara moja kwa mwezi?
   
 14. Penny

  Penny JF-Expert Member

  #14
  May 19, 2009
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 577
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  ...ingewezekana hata every day au (doze morning evening)! maana nadhani nina hormones kali sana.
   
 15. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #15
  May 19, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Eeee bwana eeehh Yo Yo anatafuta mtu...mdogo wako yuko available nimtonye best Yo Yo nadhani watapendana sana ....!
   
 16. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #16
  May 19, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Good and fine kwangu ipo chance hiyo if you won't mind
   
 17. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #17
  May 19, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mwana usinizibie riziki kwani mm siwezi kupiga dose?
   
 18. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #18
  May 19, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180

  Shosty, lakini everyday kuna ubunifu ndani yake na manjonjo? Maana inawezekana hormones zako kali sana lakini ni kuchomeka na kumaliza shuguhuli.

  Kufanya kitu hiyo kila siku unaweza kuwa siyo mvivu lakini utundu upo na kumiliki mikiki ya mzee na apendavyo?
   
 19. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #19
  May 19, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  heheeheheeh nimekusoma....kumbe ndo maaana.....!! umenidatisha?
   
 20. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #20
  May 19, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kama huyu ni simple tu nitaweka bill ya supu ya pweza + konyagi binti kila siku atarizika tu.
   
Loading...