Kwanini wanawake wanakuwa hivi?

minded tips

JF-Expert Member
Apr 29, 2018
475
847
Habari za weekend kakaz na dadaz? Anyways ngoja niende kwenye swali
Ndugu zangu nilikuwa naomba ufafanuzi hivi ni kwanini wanawake inakuwa rahisi sana kwao tena wanaona kawaida kuwa na urafiki na mwanaume anayefanya vitendo vya kishoga?

Hiii inakua hasa sababu ni ipi? Tena wanaona kawaida hata kuongoza a mtaani
 
Ukiweka pembeni mengineyo...ni binadamu kama wengine.
Mimi napenda kujumuika/kuongozana na wenye matatizo ya akili...msinitenge...
Ungekuwa mwanaume tungesema wewe ndo unawatiaga mimba ila kwakuwa ni ke...🤔
Mengine tumuachie muumba.
 
“Mwanamume anayefanya vitendo vya kishoga” kauli hii inaweza maanisha mwanamume mfi**ji wa wanaume wenzie yaani bahsha
 
Back
Top Bottom