Kwanini wanawake walio na pesa ni vigumu kutulia kwenye ndoa zao?

tyina

Member
Jul 11, 2017
94
28
Jamani naombeni ushauri wenu wakuu maana nimechunguza kila mwanamke ambaye anauwezo ni vigimu sana kumkuta na familia yake.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Jaman naomben ushauri wenu wakuu maana nimechunguza kila mwanamke ambaye anauwezo nivigimu sana kumkuta na familia yake.

Post sent using JamiiForums mobile app
Familia yake shekeli

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Ila pia nadhani sio wote japo wapo ambao wamepata pesa ila hawakukulia kwenye pesa so ni kama wanaamini pesa inatakiwa iwafanye wapate perfect life so they keep on searching the perfection

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kweli asee n wengi uwa hawajielew ndo reason

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Ni jukumu la mwanamke kutulia kwenye ndoa.

Pia, ni jukumu la mume kumpa mkewe sababu ya kutulia kwenye ndoa.

Sasa, kama wewe sababu unayompa mkeo ni pesa, siku akizipata hatakua na sababu nyingine ya kutulia na wewe!

- KANA -
 
Jaman naomben ushauri wenu wakuu maana nimechunguza kila mwanamke ambaye anauwezo nivigimu sana kumkuta na familia yake.

Post sent using JamiiForums mobile app
Hiyo ni tabia ya kiburi na kujiinua hata kama ana pesa mapenz yana nafasi yake
 
Hivi tibaijuka ana mume??sikapendi basi tuu.eti kahela kha mboghaa tuu.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Jaman naomben ushauri wenu wakuu maana nimechunguza kila mwanamke ambaye anauwezo nivigimu sana kumkuta na familia yake.

Post sent using JamiiForums mobile app
Swali,umewahi jiulza why mwanamke anatolewa mahali?
Nadhan mfumo wetu hasa african

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Ni jukumu la mwanamke kutulia kwenye ndoa.

Pia, ni jukumu la mume kumpa mkewe sababu ya kutulia kwenye ndoa.

Sasa, kama wewe sababu unayompa mkeo ni pesa, siku akizipata hatakua na sababu nyingine ya kutulia na wewe!

- KANA -
Umenena Vema..!!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
mwanamke anataka pesa hakuna kingine asipokuwa na pesa hata tigo atatoa
 
Sasa pesa anayo hata dushe
Atanunua yann akafungiwe ndan

Kunguru hafugik

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Ni kweli mi mwenyewe nanyanyaswa na mama mtoto wangu kisa ana hela halafu mi bado baga nimemwachia nyumba nimeingi kitaa kuzisaka
 
Jaman naomben ushauri wenu wakuu maana nimechunguza kila mwanamke ambaye anauwezo nivigimu sana kumkuta na familia yake.

Post sent using JamiiForums mobile app
umewasahau na wenye elimu kubwa pia..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom