Familia yake shekeliJaman naomben ushauri wenu wakuu maana nimechunguza kila mwanamke ambaye anauwezo nivigimu sana kumkuta na familia yake.
Post sent using JamiiForums mobile app
Hiyo ni tabia ya kiburi na kujiinua hata kama ana pesa mapenz yana nafasi yakeJaman naomben ushauri wenu wakuu maana nimechunguza kila mwanamke ambaye anauwezo nivigimu sana kumkuta na familia yake.
Post sent using JamiiForums mobile app
Swali,umewahi jiulza why mwanamke anatolewa mahali?Jaman naomben ushauri wenu wakuu maana nimechunguza kila mwanamke ambaye anauwezo nivigimu sana kumkuta na familia yake.
Post sent using JamiiForums mobile app
Umenena Vema..!!Ni jukumu la mwanamke kutulia kwenye ndoa.
Pia, ni jukumu la mume kumpa mkewe sababu ya kutulia kwenye ndoa.
Sasa, kama wewe sababu unayompa mkeo ni pesa, siku akizipata hatakua na sababu nyingine ya kutulia na wewe!
- KANA -
umewasahau na wenye elimu kubwa pia..Jaman naomben ushauri wenu wakuu maana nimechunguza kila mwanamke ambaye anauwezo nivigimu sana kumkuta na familia yake.
Post sent using JamiiForums mobile app