dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,907
- 8,246
Sio mgeni ila naona umeutumia pasipo penyeweHa ha huo msamiati mgeni kwako?
Sio mgeni ila naona umeutumia pasipo penyeweHa ha huo msamiati mgeni kwako?
Kuna demu hapo ana miguu kama ya Zahela
Ni jina jipya mbona linajulikanaAir hostage!!?
Linamaanisha nini?Ni jina jipya mbona linajulikana
Kuna mwingine ameshaniteka tayari kisa kumtamani
Du nomaKuna mwingine ameshaniteka tayari kisa kumtamaniView attachment 1079180
Kuku wa kidhungu!
Hahahaa! malizia story mkuu,ikawaje? interview ulipasi au ulifeli vyote pamoja na kumkosa huyo mdada?Umenikumbusha mbali sana.
Miaka kama 6 hivi niliitwa kny interview. Meeting point ilikuwa hoteli moja hapo. Alienifanyia interview alikuwa mdada, alikuwa amevaa suti inemkaaa hasa.
Yaani mda wote wa maswali akili yangu ilikuwa kwa yule dada. Baada ya interview nilimsimulia rafiki yangu moja nijamwambia nikishindwa ujue sababu no yule dada.
ha ha ha yupi hapo ila vyura wakikusikiaKuna demu hapo ana miguu kama ya Zahela
¿??????????!!!¡!!Air hostage!!?
Nini sasa. Na wewe unaona yupo sawa!!?¿??????????!!!¡!!