Kwanini wanawake wakivaa uniform wanavutia zaidi!?

Farolito

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
11,634
26,373
Air hostess
9b1256eed46d2ad42074f1c9838fcd26.jpeg
dabad6a62d4f2c9538edd9f1e09efcf0.jpeg
0a28e9a259afc5e6cdc3b7804354753e.jpeg
92378386ddad8e7edd4abfeb3edbbab0.jpeg
2c760754b91104eaa35e5a46f06e3519.jpeg
 
Hili ni kweli mkuu,mwanzoni nlipo notice wananvutia nkajitathmini kua nna dalilia za kua Ephebophilia nini,
Baadae nkaja gundua iko hv,mtoto wa kiume wwngi wakiwa ndani ya pubert age,wasichana wanaokua nao close ni wanafunzi wenzao (mostly not all) hii ina affect taratibu kiasi kwamba baadae a lady in uniform hata km anaigiza ataonekana sexiii and attractive,
Air hostess,bar maid,pilots,music dancers hta law inforcers wote wakiwa in uniform kuna ka attraction fulani hivi originated from childhood
 
Umenikumbusha mbali sana.
Miaka kama 6 hivi niliitwa kny interview. Meeting point ilikuwa hoteli moja hapo. Alienifanyia interview alikuwa mdada, alikuwa amevaa suti inemkaaa hasa.

Yaani mda wote wa maswali akili yangu ilikuwa kwa yule dada. Baada ya interview nilimsimulia rafiki yangu moja nijamwambia nikishindwa ujue sababu no yule dada.
Hukuchukua no.? mim ningemwambia nisishindwe vyote jamani!!
 
Ndio maana walimu wanatupwa jela kila kukicha

Back
Top Bottom