Kwanini wanawake wa kizazi hiki sehemu yao bora ya kujivunia katika miili yao ni msambwanda?

Kizuio

JF-Expert Member
May 29, 2018
845
521
Wakuu habari ya muda huu,

Moja kwa moja niende kwenye mada
Wanawake zetu tulio nao au wasichana tulionao katika jamii zetu hivi sasa sehemu yao bora ya kujiona wamekamilika ni makalio waliyonayo hata kama kakalio ni kadogo atatafuta kanguo katakachofanya kamsambwanda kake kaonekane.

Sijawahi kuona wakiringishia nyuso zao, matiti yao wala hata matumbo yao bali ni hicho tu.

Hata ukienda naye guest cha kwanza kukuonyesha ni msambwanda wake kawe kadogo vipi atajitahidi kukaonyesha tu kwako.

Kwa nini wamekuwa wakiringishia makalio yao kuliko vyote vilivyopo kwenye miili yao?
images.jpg
images(1).jpg
images(2).jpg
 
Wanaume wanapenda hivyo wameamua kuwekeza huko siku tukipenda kope watahamia hukohuko tukija na mtazamo wa kupenda vigimbi basi watavitafuta kiufupi wanawake wanaangalia nini tunataka
Hahaaa tutawafanya wawe machizi sasa
 
Ni sisi wanaume ndo inasababisha. Kila mwanaume anawaza makalio makubwa. Demand ni Kubwa sana ndo maana yanatengenezwa fake kibao. Sasa hivi huo ni mtaji
Duh!! Aisee kumbe wanaangalia soko
 
Back
Top Bottom