GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,546
- 108,874
Ya Kikristo….
Grace
Janet
Esther
Lucy
Christina
Getrude
Lilian
Ya Kiislamu….
Rahma
Zamaradi
Khadija
Amina
Mwasiti
Ashura
Samia
Ambao Majina yao hayapo hapa ( sijayataja ) si kwamba hawafai Kuolewa la hasha wanafaa sana tu, isipokuwa Wewe Muoaji yakupashwa Kwanza ujiandae nao Kisaiokolojia kwa lolote lile na hakikisha pia pembeni yako au mfukoni mwako hukosi Vidonge vya Panadaol au Diclopa kwani maudhi yao huwa yanakuwa hayapo mbali sana na Washambuliaji wa Ugaidi wa Makundi mbalimbali duniani.
Hongereni sana enyi Wanawake ambao Majina yenu yametajwa hapa na Wewe Mwanaume ukitaka Kuoa kweli Mke wa maana na mwenye Sifa zote njema basi GENTAMYCINE nakushauri tafuta ambaye Jina lake unaliona hapo juu vinginevyo utakuja Kujuta.
Nawasilisha.