Kwanini wanawake tu ? Ni uwoga ? Kutojiamini ? Kujihami ?

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,327
4,779
Akiwa ziarani Simiyu , Mkuu wa kaya anakutana na malalamiko kibao ya walimu .

Walimu wamemlalamikia tatizo la mabinti wanafunzi kuolewa linakithiri.
Bila kumung'unya Baba Riz ametoa tamko/karipio kali, dhidi ya wazazi wawaozeshao mabinti , na waoaji.

Na kwamba ameviamuru vyombo vya dola kuchukua hatua stahili , na watakao bainika laws ichukue nafasi yake .

Sina tatizo na agizo la Baba Riz .
Niulizeni basi , shida yangu iko wapi ?
Shida yangu iko hapa :
Inakuaje Serikali ichukue hatua kwa wasichana tu?
Je ? Kijana wa kiume mwanafunzi aliyeozeshwa Jimama na wazazi wake , huyu hana hatua ya kuchukuliwa ? Kuanzia wazazi wake , mkewe na mwenyewe ?.

Wenzetu wanawake kila pale wapatapo gap la kusimika chama wanasimika .
UWT , TAMWA , TAWLA , MEWATA , na aidha pia wana Benk yao .
Hiyo ni mif. Michache kuthibitisha nikisemacho .

Hivi kujisimikia mivyama na mitaasisi kibwena nini mantiki yake ?
Huu ni uwoga ?
Kujihami ?
Hivi nyie wanamme nanyi mna ka'chama kenu ?
 
Waulize wenzio kule kwa baba prezoo wanavyokula kichapo.

Mamndenyi you just glance my avatar !
Hiyo image ndo yatakiwa mwanamme lookin for !
Afu usiniuzi avatar yangu ikakugeukia! Utatafuta wa kukupa m'ma usimuone!
Na ukimpata utakunywa jagi 3!
Hao wanaume uwasemao wanachukua kipondo , watakua wale wa Mwambasa (Mombasa)
 
Last edited by a moderator:
Mbona wapo wengi tu wanaodundwa na wake zao? Ina mana hujawahi kuona wala kusikia?
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
yeah kichapo twapeana sana ila hatuumizani, kichapo chetu cha raha hakina karaha na nikilia sitoi machozi..! Nihayo tu shem!

wanipa raha mpenzi!! Me love you saaaana, na nakuheshimu saaaaana. I am very lucky to have you.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom