Kwanini wanawake tu ? Ni uwoga ? Kutojiamini ? Kujihami ?

Judgement

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Messages
10,356
Likes
80
Points
145
Judgement

Judgement

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2011
10,356 80 145
Akiwa ziarani Simiyu , Mkuu wa kaya anakutana na malalamiko kibao ya walimu .

Walimu wamemlalamikia tatizo la mabinti wanafunzi kuolewa linakithiri.
Bila kumung'unya Baba Riz ametoa tamko/karipio kali, dhidi ya wazazi wawaozeshao mabinti , na waoaji.

Na kwamba ameviamuru vyombo vya dola kuchukua hatua stahili , na watakao bainika laws ichukue nafasi yake .

Sina tatizo na agizo la Baba Riz .
Niulizeni basi , shida yangu iko wapi ?
Shida yangu iko hapa :
Inakuaje Serikali ichukue hatua kwa wasichana tu?
Je ? Kijana wa kiume mwanafunzi aliyeozeshwa Jimama na wazazi wake , huyu hana hatua ya kuchukuliwa ? Kuanzia wazazi wake , mkewe na mwenyewe ?.

Wenzetu wanawake kila pale wapatapo gap la kusimika chama wanasimika .
UWT , TAMWA , TAWLA , MEWATA , na aidha pia wana Benk yao .
Hiyo ni mif. Michache kuthibitisha nikisemacho .

Hivi kujisimikia mivyama na mitaasisi kibwena nini mantiki yake ?
Huu ni uwoga ?
Kujihami ?
Hivi nyie wanamme nanyi mna ka'chama kenu ?
 
Judgement

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Messages
10,356
Likes
80
Points
145
Judgement

Judgement

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2011
10,356 80 145
Wanaume wana kale ka'chama cha kuwatetea wakipigwa na wake zao!
Huyo mume anaechukua kichapo toka mkewe hadi apeleke kesi chamani , atakua ni mume ?
Au ni mf. Wa wale waitwao "watoto wa watu" ?
 
Mamndenyi

Mamndenyi

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Messages
29,405
Likes
7,470
Points
280
Mamndenyi

Mamndenyi

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2011
29,405 7,470 280
Huyo mume anaechukua kichapo toka mkewe hadi apeleke kesi chamani , atakua ni mume ?
Au ni mf. Wa wale waitwao "watoto wa watu" ?
Waulize wenzio kule kwa baba prezoo wanavyokula kichapo.
 
Judgement

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Messages
10,356
Likes
80
Points
145
Judgement

Judgement

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2011
10,356 80 145
Waulize wenzio kule kwa baba prezoo wanavyokula kichapo.

Mamndenyi you just glance my avatar !
Hiyo image ndo yatakiwa mwanamme lookin for !
Afu usiniuzi avatar yangu ikakugeukia! Utatafuta wa kukupa m'ma usimuone!
Na ukimpata utakunywa jagi 3!
Hao wanaume uwasemao wanachukua kipondo , watakua wale wa Mwambasa (Mombasa)
 
Last edited by a moderator:
YNNAH

YNNAH

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Messages
1,680
Likes
69
Points
145
YNNAH

YNNAH

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2011
1,680 69 145
Mbona wapo wengi tu wanaodundwa na wake zao? Ina mana hujawahi kuona wala kusikia?
 
Judgement

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Messages
10,356
Likes
80
Points
145
Judgement

Judgement

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2011
10,356 80 145
Mbona wapo wengi tu wanaodundwa na wake zao? Ina mana hujawahi kuona wala kusikia?
Kama unayo mif. Hai shusha!
Hata kama ni maswahiba wako wa karibu wa ile wing jirani yako , kama umesha wahi shuhudia Lady doctor kampa kisago Arushaone , au Chocs kampa kipondo Erickb52 ama Filipo kadundwa na marejesho , Mamndenyi kamtengua chama , watu8 kakung'utwa na Measkron !
Usione aibu wachane tu!
Kesi ntajibu mie .
 
Last edited by a moderator:
Lady doctor

Lady doctor

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2013
Messages
8,762
Likes
62
Points
0
Lady doctor

Lady doctor

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2013
8,762 62 0

yeah kichapo twapeana sana ila hatuumizani, kichapo chetu cha raha hakina karaha na nikilia sitoi machozi..! Nihayo tu shem!
 
Last edited by a moderator:
kabanga

kabanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Messages
31,849
Likes
5,210
Points
280
kabanga

kabanga

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2011
31,849 5,210 280
aisee! uoga tu....
 
Ethan Wayne

Ethan Wayne

Member
Joined
Nov 29, 2013
Messages
52
Likes
0
Points
0
Ethan Wayne

Ethan Wayne

Member
Joined Nov 29, 2013
52 0 0
Kaazi kweli kweli wanawake wana udhaifu ambao ni mwanamme tu anaweza kuwapunguzia udhaifu huoo!!
 
Lady doctor

Lady doctor

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2013
Messages
8,762
Likes
62
Points
0
Lady doctor

Lady doctor

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2013
8,762 62 0
Kaazi kweli kweli wanawake wana udhaifu ambao ni mwanamme tu anaweza kuwapunguzia udhaifu huoo!!
zamani za kale! Sikuhizi mnaosha vyombo na watoto tunawabebesha mgongoni
 
Arushaone

Arushaone

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2012
Messages
14,663
Likes
1,196
Points
280
Arushaone

Arushaone

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2012
14,663 1,196 280
yeah kichapo twapeana sana ila hatuumizani, kichapo chetu cha raha hakina karaha na nikilia sitoi machozi..! Nihayo tu shem!
wanipa raha mpenzi!! Me love you saaaana, na nakuheshimu saaaaana. I am very lucky to have you.
 
mshana org

mshana org

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2012
Messages
2,098
Likes
103
Points
145
mshana org

mshana org

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2012
2,098 103 145
Huyo mume anaechukua kichapo toka mkewe hadi apeleke kesi chamani , atakua ni mume ?
Au ni mf. Wa wale waitwao "watoto wa watu" ?
mkuu wapo walioa masoja unategemea kipondo hawatakula?
 
nameless girl

nameless girl

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Messages
3,964
Likes
686
Points
280
nameless girl

nameless girl

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2012
3,964 686 280
nani amekudanganya kua hatujiamini!!!!!!!
 
Filipo

Filipo

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Messages
9,322
Likes
226
Points
160
Filipo

Filipo

JF-Expert Member
Joined Jan 6, 2011
9,322 226 160
Kama unayo mif. Hai shusha!
Hata kama ni maswahiba wako wa karibu wa ile wing jirani yako , kama umesha wahi shuhudia Lady doctor kampa kisago Arushaone , au Chocs kampa kipondo Erickb52 ama Filipo kadundwa na marejesho , Mamndenyi kamtengua chama , watu8 kakung'utwa na Measkron !
Usione aibu wachane tu!
Kesi ntajibu mie .
Mie na marejesho hakunaga! Haijawahi na haitakaa itokee!
 
Last edited by a moderator:

Forum statistics

Threads 1,252,203
Members 482,039
Posts 29,800,246