Kwanini wanawake mkishaolewa ndio mnabadilika tabia, kwanini msibadilike kipindi cha uchumbaa?

Unafikiri mkuu...huo ndo ukweli haki tena.

Wanaume wanapenda pia kudanganywa..
Na ndo mana saa ingine wanaingia kingi..anaenda kuoa mdada mjinga,mpole..anaejitahidi kuishi kama malaika wa zamu mbinguni kumbeee ni bomu zaidi ya lile la Islamic State.matokeo yake kivumbi na jasho utaenda kukiona ndani.

Hivi unafikiri utaachana na wanaume au wanawake wangapi katika hii dunia??wote wanamatatizo hakuna mkamilifu.

Cha msingi ni kujuana na kuambiana Dos na Donts kiupole kabisa bila kutumia nguvu nyingi mbona sisi ni waelewa kabisa..

Wewe jaribu kufuatilia nyuzi za humu ndani kama hujakutana na baadhi ya wanaume wanalalamika wanawake zao wamebadilika baada ya kufunga ndoa..

Ukweli ni kwamba sio wamebadilika.....hapana isipokuwa hukutaka kumjua rangi yake halisi kabla hamjaoana..hiyo ndo shida.na anashindwa kuishi maisha yake akihofia kupigwa chini akaikosa ndoa.

Nimeshindwa kupritendigi aiseh..naona maisha yanakuwa magumu kabisa.nitaishi maisha ya wazi ikikupendeza ukataka tufanye maisha niambie kiupole kabisa “babe,hiki na hiki hakiufurahishi moyo wangu”mbona simpo kabisa naelewa na nitabadilika na nitakupenda zaidi

Sasa kama wewe husemi mi nitajuajeEhee nitajuaje??
Nimekuelewa sana mkuu, sasa na wewe basi uanze kupritendi hili tusipoteze mda kabisa jamaa akatangaze ndoa fasta au unasemaje au ndo umesema maisha ya kupritendi huyawezi sasa itakuwaje aisee usije kuwa unapoteza nafasi au tayali ushaingia kwenye chama any way tuachane na ayo hiki kitabia Cha kujifanga malaika kabla ya ndoa sio kizuri kabisa maana unashindwa kutambua tabia halisi ya mwenza wako na mara nyingi hizi tabia wanazo hawa digrii na mastazi do.com namaanisha wasomi wetu hawa.
 
Wanawake wasanii sana mzee baba, na namna ya kuwanasa we mfungie ndani tu mkae hata miezi 6 tu lazma kuna vitabia utavigundua tu. Usimwambie dhahiri kama unataka kumuoa. Imagine mtoto Cariha au Credit analyst ukae nae ndani miezi miwili tu. Lazma udate!

Sasa we unaita demu weekend tu kisha week nzima anatanga na dunia mnaongea katika simu tu
cariha na credit analyst
 
Nimekuelewa sana mkuu, sasa na wewe basi uanze kupritendi hili tusipoteze mda kabisa jamaa akatangaze ndoa fasta au unasemaje au ndo umesema maisha ya kupritendi huyawezi sasa itakuwaje aisee usije kuwa unapoteza nafasi au tayali ushaingia kwenye chama any way tuachane na ayo hiki kitabia Cha kujifanga malaika kabla ya ndoa sio kizuri kabisa maana unashindwa kutambua tabia halisi ya mwenza wako na mara nyingi hizi tabia wanazo hawa digrii na mastazi do.com namaanisha wasomi wetu hawa.
Mkuu hakuna mtu ambae anashindwa kubadilika,na hakuna kitu kizuri kama kukaa chin na kuzungumza na mwenza wako..

Watu wengi tunakosea kuzungumza na wenza wetu kwa sababu siku hiyo hiyo umegombana nae au amekukwaza,na mihasira yako siku hiyo hiyo unambwatukia ili abadilike mwisho wa siku mnatengeneza magomvi na chuki zisizona maana.

Mmepishana kauli,zungumza na mwenzi wako mkiwa nyote katika hali ya furaha tena na outing mtoane huko..unafikiri hatutoealewa?tutaelewa sana tu.

Hakuna mwanadamu mkamilifu na hawezu kutokea..
Ukiwa na mtu na ukaona anamazuri mengi kuliko mabaya..kaeni chini mfanye maisha.
Kama mabaya ni mengi kuliko mazuri na unaona hutokuwa na amani,mpige chini mhusika.hata kama ni mimi nipIge chini tu.furaha ya mtu ndo kitu cha kwanza.

Mwisho wa siku yote kwa yote tumshirikishe Mungu kwa kila kitu sauti ya Mungu husema nasi kila siku lakini hatuisikilizi.
 
Wanawake wasanii sana mzee baba, na namna ya kuwanasa we mfungie ndani tu mkae hata miezi 6 tu lazma kuna vitabia utavigundua tu. Usimwambie dhahiri kama unataka kumuoa. Imagine mtoto Cariha au Credit analyst ukae nae ndani miezi miwili tu. Lazma udate!

Sasa we unaita demu weekend tu kisha week nzima anatanga na dunia mnaongea katika simu tu😂😂😂
Huyo unaemfungia ndani hana kwao ? Hana familia?
 
Kama hujui kuandika talaka lazima wabadilike tabia.....Alafu kama unayaogopa yale maneno ya kwenye shida na raha mpaka kifo kitutenganishe pia watabadilika tabia...
 
Nimekuelewa sana mkuu, sasa na wewe basi uanze kupritendi hili tusipoteze mda kabisa jamaa akatangaze ndoa fasta au unasemaje au ndo umesema maisha ya kupritendi huyawezi sasa itakuwaje aisee usije kuwa unapoteza nafasi au tayali ushaingia kwenye chama any way tuachane na ayo hiki kitabia Cha kujifanga malaika kabla ya ndoa sio kizuri kabisa maana unashindwa kutambua tabia halisi ya mwenza wako na mara nyingi hizi tabia wanazo hawa digrii na mastazi do.com namaanisha wasomi wetu hawa.
Hakuna nafasi ninayopoteza mkuu...
Ninachomaanisha ni kwamba sio ninamambo ya ajabu ya kumstua mwanaume a asitake kutangaza ndoa...hapana.

Ninachomaanisha ni hivi siwezi kufake kuwa malaika,kama yeye si malaika Kwanini mimi niwe malaika...nitakuwa mimi na sio malaika.

Cha msingi ni kukaa na mwenzi wako mkayazungumzia mapungunfu yenu mkabadilika..hakuna kitu kizuri kama mazungumzo nakwambia tena.

Na ndo mana siku hizi watu wanalalamikia sana mahusiano kwa kuwa watu hukurupuka..kumuacha mpenzi wako wa zamani unaemjua na kwenda kuoa mwanamke mpya ambae wala humjui hilo ndo tatizo.
Zungumzeni na wapenzi wenu mkishindwana si basi mnaachana kwa amani..

Ni bora shetani unaemjua kuliko malaika usiyemjua huu msemo sijui huwa unamaanisha nini.

Mapenzi hayana formula,kama unampenda mtu mwambie,kuleni maisha 🧚‍♀️🧚‍♀️ 🥂
 
Hakuna nafasi ninayopoteza mkuu...
Ninachomaanisha ni kwamba sio ninamambo ya ajabu ya kumstua mwanaume a asitake kutangaza ndoa...hapana.

Ninachomaanisha ni hivi siwezi kufake kuwa malaika,kama yeye si malaika Kwanini mimi niwe malaika...nitakuwa mimi na sio malaika.

Cha msingi ni kukaa na mwenzi wako mkayazungumzia mapungunfu yenu mkabadilika..hakuna kitu kizuri kama mazungumzo nakwambia tena.

Na ndo mana siku hizi watu wanalalamikia sana mahusiano kwa kuwa watu hukurupuka..kumuacha mpenzi wako wa zamani unaemjua na kwenda kuoa mwanamke mpya ambae wala humjui hilo ndo tatizo.
Zungumzeni na wapenzi wenu mkishindwana si basi mnaachana kwa amani..

Ni bora shetani unaemjua kuliko malaika usiyemjua huu msemo sijui huwa unamaanisha nini.

Mapenzi hayana formula,kama unampenda mtu mwambie,kuleni maisha
Nimekuelewa sana mkuu nafikiri mawazo yako ni mazuri natumaini wadada wenzako watayatumia na kuyafanyia kazi mana mahusiano yamekuwa ni shida kwa sasa nyuzi nyingi watu wanalalamika juu ya wapenzi wao.
 
Tukiwa wawazi enzi za uchumba lazima uje huku uombe ushauri na ushauri utakaa upate huku ni wa kutupiga chini sasa itakuwaje bila kupritendi jamani

Na nyie wanaume mnapenda muingie kwenye mahusiano na malaika wa mbinguni. Sasa wewe ulisikia wapi kuna binadamu malaika. Ehee ulisikia wapi??

Cha kmsingi ni kupendana, kuchukuliana na kumsoma mwenza wako ni mtu wa namna gani. Fulustopu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom