Kwa sababu wana shida ya usafiri...Wadada wengi huwashobokea kina kaka au wababa wenye magari.Ni kwanini?
Lol, i was abt to say the same thing.According to your heading; navutiwa na wanawake wenzangu kwasababu wako makini sana barabarani kuliko wanaume.