Kwanini wanawake hawafuti namba za simu hata kama alikukataa au mliachana?

juvenile davis

JF-Expert Member
Apr 13, 2015
4,752
4,449
Hii nimejilidhisha mu mwenyewe na pia na nyie mtakuwa ni mashahidi wa hili.Wanawake huwa hawafuti namba za simu za wapenzi wao hata kama mliachana miaka miwili iliyopita.Au hata kama ulimtongoza na akakukataa ila alikuwa na namba yako basi ujue hataifuta hiyo namba.hivi ni kwanini?
 
Hii nimejilidhisha mu mwenyewe.na pia na nyie mtakuwa ni mashahidi wa hili.wanawake huwa hawafuti namba za simu za wapenzi wao hata kama mliachana miaka miwili iliyopita.au hata kama ulimtongoza na akakukataa ila alikuwa na namba yako basi ujue hataifuta hiyo namba.hivi ni kwa nini?
Ubishi mwingi na wakati huo anakusisitiza huyu mtu tulishaachana na siwezi kumrudia....
 
Hii nimejilidhisha mu mwenyewe.na pia na nyie mtakuwa ni mashahidi wa hili.wanawake huwa hawafuti namba za simu za wapenzi wao hata kama mliachana miaka miwili iliyopita.au hata kama ulimtongoza na akakukataa ila alikuwa na namba yako basi ujue hataifuta hiyo namba.hivi ni kwa nini?
Yaani wewe ndo umeongea vaisivesa wanaume ndo huwa hawafutagi mm cku c nyingi nimekuja kupipigiwa na ex nilioachana nae 2013
Na mm niliishaifutaga kitambo sana
 
mi naona maisha mazuri hata mmeachana haina haja ya kununiana sijui kufuta namba... hayo ni maisha ya kizamani..!!!
asaivi ni fresh tu.. mmeachana na bado unaenda kwenye harusi yake!
 
Hii nimejilidhisha mu mwenyewe.na pia na nyie mtakuwa ni mashahidi wa hili.wanawake huwa hawafuti namba za simu za wapenzi wao hata kama mliachana miaka miwili iliyopita.au hata kama ulimtongoza na akakukataa ila alikuwa na namba yako basi ujue hataifuta hiyo namba.hivi ni kwa nini?
Waifute wakati hawajiamini kesho wataamka na shida au hapana,maana akizidiwa tu na shida mara antuma text kama hivi"mambo"? ukimjibu tu kwa mfano "POA" "WEWE NANI?,basi utasikia ooooh baby yaani leo ndio umenisahau? yaani baby nimekumiss,natamani nisikie sauti yako tu,yaani baby siku ile pale sehemu fulani tulipokutana kuna dada fulani aliniudhi kweli,,.Na sisi wanaume kwa kuwa akili zetu ziko kwenye shaft ,mara unampigia simu na hapo hapo unapigwa mzinga na kuachwa kwenye mataa.
 
khaa ni nyinyi
mimi mtu nimpigie anijibu ndivyo sivyo namba nafuta
sijui tuongee deal lisikamilike nafuta
ukae week hujanitafuta nafuta
namba za ndugu zangu tu naona mzigo yni mimi watu wakinipigia kila siku we nani?!!!
sikai na namba zisizo na msingi hata siku moja
 
wanaume wa dar ndio akili zao zipo kwenye shaft mkuu
 
Kuna dem flan aliniambia kile kipindi mwanamke anapokaribia kufunga ndoa ndio huchepuka the most.

Sijui ndio wanakombeleza ukoko wa mwisho mwisho hata sijui. Tehe

Sijisifii ujinga ila kuna dem niliwahi gegeda kama weekend hii....next week yake alikua anaolewa. Na harusi nilihudhuria nd it was like nothin ever happened.

Take Note:
Silent minds hide the deepest of Secrets.
 
Hiyo hata mimi huwa najiuliza sana, ma-ex wangu wengi bado wana namba yangu. Mimi kwa kawaida hata nikitongoza dem kachomoa nafuta, sababu sioni umuhimu wa kubaki na namba yake. Hata mshikaji tumefanya dili halijakaa sawa nafuta. Ofisini kwenye ina namba sijui za wawili
 
Ili siku akifulia utasikia "hallo baby za siku? Umenisusa..nilikumisi jamani" ukimjibu..tarajia message hii "Mwenzio na shida wangu Acha tu..." ujue anataka sms ya Imethibitishwa umepokea...
 
khaa ni nyinyi
mimi mtu nimpigie anijibu ndivyo sivyo namba nafuta
sijui tuongee deal lisikamilike nafuta
ukae week hujanitafuta nafuta
namba za ndugu zangu tu naona mzigo yni mimi watu wakinipigia kila siku we nani?!!!
sikai na namba zisizo na msingi hata siku moja
Uko kama mimi; sikai na namba zisizo za maana wala mawasiliano ya msingi.
 
Hii nimejilidhisha mu mwenyewe na pia na nyie mtakuwa ni mashahidi wa hili.Wanawake huwa hawafuti namba za simu za wapenzi wao hata kama mliachana miaka miwili iliyopita.Au hata kama ulimtongoza na akakukataa ila alikuwa na namba yako basi ujue hataifuta hiyo namba.hivi ni kwanini?
Hawafuti kwa sababu kuna muda atahitaji kukuvunja goti tena, badiri namba
 
Back
Top Bottom