Kwanini wanawake hawafuti namba za simu hata kama alikukataa au mliachana?

Jamani binadamu tumetofautiana, kunawengine mkiachana yaani ndio mwanzo wa maisha mapya tena yenye furaha zaidi ya kipindi mkiwa wapenzi.

Hapa mtaanza kusaidiana kwenye mishe mbalimbali kama Biashara, na matatizo mbalimbali ya kijamii.

Heshima huongezeka kwa kila mmoja,yaani hakuna wa kumfatilia mwenzake kama mlivyokuwa wapenzi.

Pia kila mmoja anakuwa mshahuri wa mwenzake hadi kenye mahusiano hasa ikiwa mmoja wapo au wote wamepata wapenzi WAPYA.

Sasa kwa EX kama huyo kunahaja ya kufuta namba zaka?????

Kundi la pili hawa mkiachana tu, yaani ndio umetangaza vita tena vikali hasa. Anakununia wewe hadi ndugu na jamaa zako.

Fitna hadi kwenye shughuri zako za uchumi na kijamii pia. Hadi unajutiani kumfahamu.

Akujuwa mpenzi wako MPYA au MKEO basi asila zake zote anazielekeza huko.

Sasa kuna haja ya kuhifadhi Namba za EX wa tabia hizi kwa faida gani?
 
Inaitwa "Keeping it for the rainy day "
Hii nimejilidhisha mu mwenyewe na pia na nyie mtakuwa ni mashahidi wa hili.Wanawake huwa hawafuti namba za simu za wapenzi wao hata kama mliachana miaka miwili iliyopita.Au hata kama ulimtongoza na akakukataa ila alikuwa na namba yako basi ujue hataifuta hiyo namba.hivi ni kwanini?
 
Back
Top Bottom