Kwanini Wanaume wengi wanapenda kufanya Ngono ndani ya magari yao?

Mzukulu

JF-Expert Member
Feb 14, 2020
1,401
2,629
Ni kwanini Wanaume wengi siku hizi wanapenda sana kufanya Ngono ndani ya Magari yao? Hii tabia siyo tu kwamba sasa imeshazoeleka bali kwa jinsi ambavyo ninakutana nayo sasa ni dhahiri kabisa kuwa imeshaota Mizizi.
 
we ushafanywa mara ngapi hadi ufungue uzi, tuanzie hapo kwanza

Kila nikiwa napita katika Maeneo ya Wazi mengi au zenye Vichaka nakutana nayo hasa nikiwa nayaona hayo Magari yanachezacheza mno Ndugu.
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom