Kwanini wanaume wengi wakikaribia kuoa huanza kuota vitambi, kunenepeana na kuharibika shepu?

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,683
8,830
hili nimeliona kwa vijana wengi sana Dsm. Wakimaliza chuo wanakuwa watanashati hasa, tatizo linakuja mara wanapoanza michakato ya kuoa.
Hunenepeana hovyo na kufura kama vyura wa Kihansi.
Boys watch out what you are eating
 
mmmmmh!..ulianza vizuri kama unataka kujua kitu mara ukabadilika ghafla na kuanza kutukana matusi...hivyo no comment hapa
 
Mkuu umenichekesha sana,da hyo ni kweli maana hata nashindwa kuandika hapa
 
mmmmmh!..ulianza vizuri kama unataka kujua kitu mara ukabadilika ghafla na kuanza kutukana matusi...hivyo no comment hapa

hamna matusi hapa dear, ni mambo tu ya tamathali za semi
 
natumaiini utakuja na swali hili
""KWA NINI WANAPOACHIKA WANAKONDA SANA??""WANAKUNYWAGA DAWA YA MINYOO MFULULIZO AMA??
 
Mtu wa hivi ujue alishatendwa na wanaume, na hana hamu nao!...Angalia trend ya threadz zake!
 
hili nimeliona kwa vijana wengi sana Dsm. Wakimaliza chuo wanakuwa watanashati hasa, tatizo linakuja mara wanapoanza michakato ya kuoa.
Hunenepeana hovyo na kufura kama vyura wa Kihansi.
Boys watch out what you are eating

Nazjaz nafikiri utakuwa na mwili kama kwenye hii avatar yako
 
mmmmh acha gere jamani, wakikonda ooh ameshaukwaaa, ukinenepa ooh kaanza dozi huyo ooh kageuka vyura wa kihansi thatha dhuri lipi kwako jamani?
hili nimeliona kwa vijana wengi sana Dsm. Wakimaliza chuo wanakuwa watanashati hasa, tatizo linakuja mara wanapoanza michakato ya kuoa.
Hunenepeana hovyo na kufura kama vyura wa Kihansi.
Boys watch out what you are eating
 
Vp yule msela wako wa kujamba jamba ameanza kufura kama chura nini?
 
Du mada nyingine ngumu kuchangia.kwan mtu akinenepa shida yake ni nn, pafomansi ina uhusiano na kunenepa?
 
Vijana siku hizi wakimaliza masomo, hujisikia wamefika, mlo hupatikana kirahisi ofa za pombe kwa wingi, stress za masomo hamna, mpaka mtu anajisahau. Kama mtu alikua wa mazoezi anaacha, wakati woote kwenye gari......Yoote haya mtu anajihisi kafika!!!!!!!!(Fikra ndogo hizi jamani).
 
wengi wanakuwa na matarajio ya BF and GF sasa yakianza mabonde na kwa kuwa hawakuwa na maandalizi ya kutosha wanaanza kuchanganyikiwa na kukondeana ovyo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom