Kwanini wanaume wengi wa siku hz wanapenda kulelewa?

Poor research done na nyie wadada. Hii reseach inaonyesha jinsi mlivo. Wengi mnakimbilia vibraza men, mnavoviita vihandsome boy, viserenget boyz, vilamba lipstick, vibana sauti, yes no nyingi. Sijui hata kama vinawaridhisha kitandani? Vikiwachuna mnakuja kulalamika hapa, mlitegemea tuwaonee huruma? No one can benefit from his/her own mistakes.

Badilikeni, kwa nini usitafute mwanaume wa kweli? Mtaishia tu kulalamika na mabao mtapigwa.


well said....
 
Mashuga mumy hutega vijana mwanzo hutoa huduma zote kijana akishakolea yeye ndio atakayemlea mama. Na hawa vijana hutumika sana kunako 6x6. Wanasahau kuwa hakuna kitu kinaitwa ready made mwisho wao huwa mbaya
 
kama umeingia kwa gia ya ndizi nyama lazma jamaa aje na gia ya kulelewa,hamna kitu wanaume tunakichukia kama mizinga!!
 
Weeee King'asti hujawahi kukutana na wanaume wa aina hii?
Unadhani mkiwa mnatoka ndo atakwambia hana wallet?
Dume la dizaini hizi anawaza kukutafuta job na kukualika dinner au lunch mkifika linaongoza kulipa then litaleta visingizio, kuepuka aibu utalipa........

Linaweza kukukonvince muende movie mkifika kwenye kulipa litajizungusha weeeeeeee hadi karaha.....

Ila raha ukishamjua tabia, akikualika dinner unakula then lipa msosi wako tu muone atakavyotoa macho, dawa ndogo sana.... Mkifika mahali mwambie lipa...akisema hana wallet wewe mwambie huna hela...aamue kusuka au kunyoa kama hajaenda kuosha vyombo
(wanaume wa aina hii fomula ya kusaidiana haifanyi kazi kwao, wao wamespecilize kuchuna)

hahahaha u made my night,ngoja nilale lol!!anaosha masufulia eti
 
Last edited by a moderator:
Lol, wanajikausha hapa kukwepa kukujibu.
Nina theories 2
1- kuna genetic disorder inaharibu gene pool
2- maisha yamekuwa magumu sana, kuna scarce resource na matumizi ya wanawake wa siku hizi yamezidi. So wanaume wa siku hizi hawawezi kuendelea kujilea na kulea familia zao. Zamani mwanaume akileta kitenge cha morogoro tu na chachacha na shanti mama anakenua. Siku hizi lace wig, mkorogo, gari, nyumba, jenereta, sijui maskuli bus! Baba wa watu awezee wapi jamani?

Note: kumnunulia mpenzio vitu na kumpa treat sio kumlea. Wanawake tuna silika ya uchoyo na kujihesabia haki ya kutunzwa kila wakati bila kusoma alama za nyakati.

ungekuwa single,i swea ningekuoa,yaani unaongea point hadi raha lolest
 
Maisha magumu acha na sisi tulelewe, mi mwenyewe nipo kwenye harakati za kutafuta dada wa kunilea
 
Back
Top Bottom